Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Kama kweli mpiga domo Maureen ataenda Man United, siku na furaha yangu ya leo itakuwa imeharibika....
Ndo ishakuwa mkuu!!!
Kama kweli mpiga domo Maureen ataenda Man United, siku na furaha yangu ya leo itakuwa imeharibika....
Nmepienda hyosafiiiii![]()
Dah kweli aisee......mie pia. Mwingine unaitwa "father to son" Huu wimbo acha tu. ....ila phil collins nazipenda nyimbo zake sana.Hold on my heart
just hold on to that feeling
we both know we've been here before we both know what can happen So hold on my heart
Hahahaaaaa ndio nyimbo zangu hizi sister, namuelewa sana huyu kikongwe aisee