Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Blackburn Rover wanacheza daraja la ngapi..?

Wako football league championship baada ya kushushwa daraja msimu wa 2011-2012. Msimu uliopita katika ligi yetu ya championship tumemaliza nafasi ya 15 tukiwa na Point 55. Hopefully next season tutarudi premier league
 
Wako football championship league baada ya kushushwa daraja msimu wa 2011-2012. Msimu uliopita katika ligi yetu ya championship tumemaliza nafasi ya 15 tukiwa na Point 55. Hopefully next season tutarudi premier league
Nilisahau hii team....
Bado Yakubu anachezea hii team...namkumbuka huyu jamaa alivyotufanya pale OT mwaka 2011
 
Nilisahau hii team....
Bado Yakubu anachezea hii team...namkumbuka huyu jamaa alivyotufanya pale OT mwaka 2011
Yakubu aiyegbeni baada ya timu yetu kushuka daraja alitusaliti na kukimbilia china kuna timu inaitwa Guangzhou R&F kama sijakosea. Tangu kipindi hicho cha 2012 sijui tena alipotelea wapi
 
Kwenye ukurasa wake wa twitter Rafael da Silva ( @orafa2) katuma best wishes kwa vijana

Once you are a red, you are always a red

Daah, Mapafu ya paka..!!

Nilikuwa namkubali huyu dogo balaa, Alikuwa ni kisiki cha mpingo, Baki wewe mpira uende au Nenda wewe upira ubaki..!!! Dadekiiii hizi ndizo roho za SAF hata kama mchezaji wa kawaida, ataonekana mkali..

Nyambafu zake LVG kapoteza kipaji hiki.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom