Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii Fainali utafikiri tunaangalia Dr. Mwaka ndondo cup.

Acha nisubirie zangu DFB Cup Final
 
Yeah ni kweli ndio maana nimesema nasubiri kucheki game inayofuatia hakuna aliyeniforce pia ni maamuzi yangu. Next tym si kila comment unatakiwa ureply zingine uta attract matusi tu kwa wenye roho nyepesi.

Hakuna aliyekuforce kuangalia mkuu...na wala sio lazima uangalie
 
Yeah ni kweli ndio maana nimesema nasubiri kucheki game inayofuatia hakuna aliyeniforce pia ni maamuzi yangu. Next tym si kila comment unatakiwa ureply zingine uta attract matusi tu kwa wenye roho nyepesi.
Kulikuwa kuna haja gani ya kuandika ulichoandika si.ungekaa kimya
Jamii forum huru kwakila mtu kuandika anachotaka ila usivunje tu sheria za.humu wewe ni nani.mpaka.uniambie next time nisi-reply.
 
Msipanick brother..tupo humu kuhakikisha mnapanick mpewe red card tu sawa na Zaha anachomfanyia Rojo.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kuandika ulichoandika si.ungekaa kimya
Jamii forum huru kwakila mtu kuandika anachotaka ila usivunje tu sheria za.humu wewe ni nani.mpaka.uniambie next time nisi-reply.
Dah acha nikatafute kitufe cha ignore list
 
Lol...! nipaniki kisa nini..mkuu...watu kama hawa wapo wengi humu...
Ndiyo na ndio lengo letu...upewe ban tu. Limechi lenyewe ni kama nlivosema kama kuangalia Coastal na Simba,,,sote tunajua Simba ana uwezo wa kushinda ila mchovu. Coastal anajitahidi sana kwa leo. Heri ningebaki kwangu tu
 
1463851574202.jpg
1463851577570.jpg
 
Back
Top Bottom