Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Oya eb nenda kwenu kuleBreaking news : Zlatan the PSG star said Manchester united wanted my services and l told them l don't work on thursdays.
What do u say abt Zlatan....
Oya eb nenda kwenu kuleBreaking news : Zlatan the PSG star said Manchester united wanted my services and l told them l don't work on thursdays.
What do u say abt Zlatan....
Oya eb nenda kwenu kule
HahahaFaraja ya msiba ni majirani kuja kuomboleza na wafiwa na msiba umetokea jana tu,tupo mpaka 40 hapa na kuna tetesi una mgonjwa mwingine mahatuti tunasubiri itakuaje pale Wembley kwa kifupi tupo sana na hivi ligi imeisha acha tusubiri hapa kibarazani kwako.
Asante sana my kaka kipenzi nawe nikupongeze kwa kuwa shabiki mwaminifu wa MUFC.......sasa kinakuja kile kipindi cha tetesi nisichokipenda mweeew......Mi maombi yangu tuanze kufanya usajili mapemaaa biashara asubuhi tuachane na mambo ya zima moto ..... ......wito wangu kwa family hii yote tusipoteee jamani tuwe tunakutana hapa tunapiga story tu hata kama za enzi zileLigi ndo imeisha hivyo tulicho ambulia ndio hicho tujipange kwa msimu ujao shukran kwa fans wote wa united bila kumsahau dada yangu kipenzi everlenk

Asante sana my kaka kipenzi nawe nikupongeze kwa kuwa shabiki mwaminifu wa MUFC.......sasa kinakuja kile kipindi cha tetesi nisichokipenda mweeew......Mi maombi yangu tuanze kufanya usajili mapemaaa biashara asubuhi tuachane na mambo ya zima moto ..... ......wito wangu kwa family hii yote tusipoteee jamani tuwe tunakutana hapa tunapiga story tu hata kama za enzi zile![]()
![]()
Hapa Hamna Msiba Tena ni kula bata tu,Pilau, biriani ,baga,majuicy,mawine, yaani ni chakula kwa kwenda mbele. .....no more tears.........#MUFCFAWINNERSFaraja ya msiba ni majirani kuja kuomboleza na wafiwa na msiba umetokea jana tu,tupo mpaka 40 hapa na kuna tetesi una mgonjwa mwingine mahatuti tunasubiri itakuaje pale Wembley kwa kifupi tupo sana na hivi ligi imeisha acha tusubiri hapa kibarazani kwako.
Jukwaa la tetesi![]()
![]()
![]()
![]()
Tetesi, utakuta wachezaj kama 60 hvi wote man u inataka kuwasajili
Uwa nachekaga kweli
Everlenk, ukpata tetes tupiamo humu tuzione

Yeleuwiiiii haka ka swali sikapendi mweee.!!!!....... Mimi muumini wa mabadiliko km hawezi kubadilika asepe tu km vipi! !!!Van Gaal abaki au asepe? huu ndio mjadala uliopo kwa sasa
Nini maoni yako?
Yaani wachezaji wote wakubwa utasikia eti tumewatokea na wamechomoa sipendi tetesi mimi basi tu![]()
![]()
![]()
![]()
Tetesi, utakuta wachezaj kama 60 hvi wote man u inataka kuwasajili
Uwa nachekaga kweli
Everlenk, ukpata tetes tupiamo humu tuzione

Inatakiwa tuwe tunazionaYaani wachezaji wote wakubwa utasikia eti tumewatokea na wamechomoa sipendi tetesi mimi basi tu![]()
![]()
![]()
Inatakiwa tuwe tunaziona
Kwa mfano niw tetesi bayo siipend et lvg hataondoka msimu ukiisha
Tetesi ina niboa hyo everlenk we acha tuu
inahuzunisha na kuchekesha .Hahahaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
inahuzunisha na kuchekesha .
AaahI was born to LOVE Manchester utd, HATE looserfool and RESPECT Madrid.
#thankssevilla
Swadakta maneno yako hapotei mtu hizo tetesi ni nzuri coz zinakupa waqt wa kumfuatilia huyo mchezaji sioni kama jambo baya ila utata unakuja mkimkosa halafu bonge la mchezaji.Asante sana my kaka kipenzi nawe nikupongeze kwa kuwa shabiki mwaminifu wa MUFC.......sasa kinakuja kile kipindi cha tetesi nisichokipenda mweeew......Mi maombi yangu tuanze kufanya usajili mapemaaa biashara asubuhi tuachane na mambo ya zima moto ..... ......wito wangu kwa family hii yote tusipoteee jamani tuwe tunakutana hapa tunapiga story tu hata kama za enzi zile![]()
![]()