Manchester United (Red Devils) | Special Thread

eti jamani table ikoje? naomba mtubandikie table tuone
 
hivi kuna watu humu wamecheza competitive sport? Kilichotokea kwa nani ni kuwa adrenaline ilikuwa bado inakimbia mwilini, alipoona severity ya jeraha na kuanza kusikia maumivu ndipo alipoanguka chini.
Washabiki wa arsenal mlimcheka ramsey au denilson walivyofanyiwa dreadful foul au kwa kuwa ni mchezaji wa man utd basi he deserves anything that is thrown at him?

I love how the media is covering the whole incident kwa kweli (enter sarcasm), angekuwa amefanya mchezaji wa man utd hadi sepp blatter angeongea.
 
Kwa Arsenal labda mjifunge wenyewe othewise hawawezi kuwafunga

Kweli kabisa mkuu hawawezi kitu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee omgeza pilipili manga basi?

Michelle hamna mechi iliyoniuma kama jana hadi leo nimeamka mambo ya hayapo sawa..Imeshakuwa nuksi sasa,khaa!!..
omboleza nasi basi🙂)ha ha

Pole sana hii nuksi aliyeanzisha alikuwa Chelsick .... ..khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee Ooops Wolves ...... ..

Bado sija recover kutokana na kipigo kile.

Uta-recover tu hata Furngie naye amezila kila kitu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee nashangaa nyie bado mmo humu?

eti jamani table ikoje? naomba mtubandikie table tuone

Kama unavyoona mkuu ... ... ...

Mkuu ndio matanga yenyewe haya wapo vijana wa kukufariji. Wale watoto wa Loser fools watukutu kweli hivi wanaweza kweli na akili zao timamu kumuumiza vile Nani? Hata kutembea alishindwa lakini aliweza kuruka ruka kama chura hadi alipofikia mauti yake kwa referee .... .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Mchezaji wenu wa ziada ndugu Clutterburgh anafikiria kujiuzulu khe khe khe kheeeeeeeeeeee baada ya kumwokoa Wine Romney ...khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
...ha ha ha, Wacha1 saafi sana ....hakikisha hawanywi maji hawa...!!!
Halafu walivyotukamia kesho na Barcelona ndio wananizidishia kicheko hapa! LOL

Eqlypz na wenzio,

Consider your request done.

Safi sana Ab-titchaz, sasa waje na sababu nyingine, walianza oohh jezi nyeupe, mara picha ya blogu, ...! ha ha ha
 
Acha tu, inadibi washabiki wa Arsenal watuachi wakati tunadili na crisis yetu..wamejaa hao, subiri mechi yao na Barca!!..yani ama zao!!

...pheeewww, yamekuwa hayo? ha ha ha...
kesho mtajiongezea machungu tu!
 
Acha tu, inadibi washabiki wa Arsenal watuachi wakati tunadili na crisis yetu..wamejaa hao, subiri mechi yao na Barca!!..yani ama zao!!

forget about tomorrow BJ, tusubirieni Jumamosi FA Cup, 5.15pm (17h15) ndani ya "Old Trash Fort!"
...wiki hii lazima tumtoe roho mzee Alex Fungus!

Ab Titchaz, weshaanza visingizio hawa,...tafadhali wabadilishie bana kabla hawajasema lingine, ha ha ha!!!!

Ab Tchaz
Shukrani kaka. Usiwasikilize wana-majungu hao.
 
forget about tomorrow BJ, tusubirieni Jumamosi FA Cup, 5.15pm (17h15) ndani ya "Old Trash Fort!"
...wiki hii lazima tumtoe roho mzee Alex Fungus!

ebu kuwa na heshima kidogo ebo! Mkishinda kesho come the 12th lazima tuwafunge, mkitolewa kesho mtakuja for blood...hehehe nilimwambia aw huu msimu umekaa kama ule wa 98-99 maana tulikuwatoa liverpool kwenye third round na tukakutana na arsenal kwenye nusu fainali ya FA Cup sema safari hii tunakutana kwenye 1/4 final.
 
Ab Tchaz
Shukrani kaka. Usiwasikilize wana-majungu hao.

ha ha ha!...

...naam, naam...ama zenu ama zetu!...si unajua "ukimuudhi mchinja mbwa wazimu unakurudia?"

ha ha ha!...

...naam, naam...ama zenu ama zetu!...si unajua "ukimuudhi mchinja mbwa wazimu unakurudia?"

suddenly league imekuwa interesting alafu kuna more twists and turns to come mpaka ifike May baadhi yetu tutakuwa tushakwenda kwa madaktari wa moyo. Mlioko london may 1st nataka kuiangalizia mechi emirates mungu akipenda.
 
MAN U....RED DEVILS....TUNASHIKIKA VIBAYA SANA NA WOLVES, CHELSEA NA LIVERPOOL.....the list to be continued......!!!!

Good night Belinda,Manda,Mfarisayo,Eqlypz and all of MAN U FANS......:hand::hand:
 
Ab Tchaz
Shukrani kaka. Usiwasikilize wana-majungu hao.
mkuu naangalia possibilities za kuanzisha manchester united supporters club of tanzania, kwa afrika nzima naona iko south africa tu.
 
suddenly league imekuwa interesting alafu kuna more twists and turns to come mpaka ifike May baadhi yetu tutakuwa tushakwenda kwa madaktari wa moyo. Mlioko london may 1st nataka kuiangalizia mechi emirates mungu akipenda.

Umeshafanya mpango wa tiketi? Emirates haiingiwi kama Kariakoo?
 
Umeshafanya mpango wa tiketi? Emirates haiingiwi kama Kariakoo?
ticket nachukulia man utd, sema ndio hivyo haitanipa flexibility ya kukaa kwingine bali kwenye jukwaa la visiting team's fans.
 
mkuu naangalia possibilities za kuanzisha manchester united supporters club of tanzania, kwa afrika nzima naona iko south africa tu.

Wow! Good idea dude. nadhani nitakuwa wa kwanza kukupa shavu.
No P at all.
 
ticket nachukulia man utd, sema ndio hivyo haitanipa flexibility ya kukaa kwingine bali kwenye jukwaa la visiting team's fans.

Haya mkuu panapo majaliwa tunaweza kugongana ila usighairi tu maana hiyo mechi inaweza kupigwa date!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…