,,,,Mkubwa eeeh!!!,, hivi ile shoot alopiga VAN PERSIE wakati akiwa offside na baadae akalimwa yellow card,ingawa lilipiga side net HALIHESABIKI????
Ishu ni kuwa arsenal hawakupiga hata shuti moja on goal walipiga shuti moja tu nje ya goli hilo ra RVP
Ukifungwa goli kwenye dead ball, litahesabika?,,,,Mkubwa eeeh!!!,, hivi ile shoot alopiga VAN PERSIE wakati akiwa offside na baadae akalimwa yellow card,ingawa lilipiga side net HALIHESABIKI????
Kuna mtu ana link ya hii game maana siko jirani na runinga.
</p>Kuna mtu ana link ya hii game maana siko jirani na runinga.
Nishaipata kaka...<p></p>
<p> </p>
Pole kaka, mm ninazo ila ziko kwa PC.