Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Guys,

Inasemekana baada ya kuonyesha kiwango cha juu sana kwenye mchezo wa jana, Martial aliitwa na Maafisa wa kuzuia Matumizi ya kuongeza nguvu michezoni. Kitendo hicho kilimnyima nafasi ya kusheherekea ushindi na wenzake.

Tafadhali mwrnye kujua ukweli ni upi na matokeo ya vipimo no yepi?

BACK TANGANYIKA
 
Hebu ngoja tufatilie hiyo ishu kama kweli
 
MARTIAL GROANS AT RANDOM DRUG TEST AFTER FIRING MANCHESTER UNITED TO THE FA CUP FINAL
By Chris Davie
Instead of heading to the changing rooms to celebrate at Wembley, the striker was taken to one side by a doping control officers for a random drug test
EXTRA TIME
Anthony Martial may have fired Manchester United to the FA Cup final, but the striker's celebrations were quickly halted in the tunnel at Wembley.
Doping control officers are present at the majority of high-profile games in English football, and Saturday's FA Cup semi-final was no exception.
Martial was one of the unfortunate players taken to one side after United's latest victory, meaning he could not celebrate with his team-mates until he'd given a blood and urine sample.
Over 2200 tests were conducted at random last season, while it was announced on Saturday that Mamadou Sakho is currently under investigation by Uefa after failing a drugs test.
 
306dd1deae72edbfa145ac1c16453520.jpg

PFA Merit Award #Giggys
 
Back
Top Bottom