Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Umesahau Per MatakatakaPFA Team of the year
Vardy. Kane
Payet. Mahrez
Kante. Alli
Rose. Morgan Aderwreld. Bellerin
De Gea

Umesahau Per MatakatakaPFA Team of the year
Vardy. Kane
Payet. Mahrez
Kante. Alli
Rose. Morgan Aderwreld. Bellerin
De Gea

Hahahah yule beki au matatizo yaleUmesahau Per Matakataka
![]()
![]()
![]()
![]()
Sijafuatilia sana games za Spurs. Lakini huyu Alli si kaanza ku-shine kwenye half ya pili ya msimu ama?
Countinho gani huyu liva? Hahahaaaaa utakua unatania bro, delle alli kawa vizuri toka round ya kwanza ukiongeza na umri wake ndio kimembeba, laiti ozil angeendelea na kiwango alichokua nacho round ya kwanza ningemchukua yeye, ila kwa sasa hyo nafasi nakubaliana nayo kabisa.alli goli la crystal palace limempaisha hapat namba mbele ya coutinho labda utaifa na kumpa dogo molari
Countinho gani huyu liva? Hahahaaaaa utakua unatania bro, delle alli kawa vizuri toka round ya kwanza ukiongeza na umri wake ndio kimembeba, laiti ozil angeendelea na kiwango alichokua nacho round ya kwanza ningemchukua yeye, ila kwa sasa hyo nafasi nakubaliana nayo kabisa.

Eeee Mungu sikia maombi yangu naomba Wembley tusitoke patupu,nimelimiss sana hili kombe ,wakati wengine ukiwapatia Ubingwa wa ligi kuu na sisi utupatie Ubingwa wa FA cup,Nashukuru na naamini umesikia ....Ameeeen.....GGMU.Wembley, Wembley,
We're the famous Man united and we're going to Wembley,
Wembley, Wembley,
We're the famous Man united and we're going to Wembley
![]()
Hahhahaaahaa pole mtani!Kishabiki zaidi
Amin aminEeee Mungu sikia maombi yangu naomba Wembley tusitoke patupu,nimelimiss sana hili kombe ,wakati wengine ukiwapatia Ubingwa wa ligi kuu na sisi utupatie Ubingwa wa FA cup,Nashukuru na naamini umesikia ....Ameeeen.....GGMU.

Hahahahha ndoto hizi utastuka toka kwenye wimbi hilo ..... all the best lakiniEeee Mungu sikia maombi yangu naomba Wembley tusitoke patupu,nimelimiss sana hili kombe ,wakati wengine ukiwapatia Ubingwa wa ligi kuu na sisi utupatie Ubingwa wa FA cup,Nashukuru na naamini umesikia ....Ameeeen.....GGMU.
Hahahaaaa sawa mtaniHahhahaaahaa pole mtani!
FA cup ya kwetu kijanaHahahaaaa sawa mtani
pia sikutaka kwenda levo za ozil nilishuka chini tu mi ni manchester united die hard lakin hao nlikuambia wapo vizur sna hakuna timu itapinga kua nao ila alli si mbovu dogo ni mzuri sikatai ila ana mengi ya kujifunza hawez kuwa juu ya ozil na coutinho.
coutinho anatoka brazil anapita inter anatua liver ktk makinda bora wa brazil neymar,oscar na yy huyo coutinho alikuwa wa kwanza kufika europe kwa ubora wake.
Chief hii ni PFA player of the year, wanachaguliwa wale wachezaji waliofanya vizuri kwa mwaka husika, sasa unapozungumzia habari za countinho akiwa inter au ozil wa msimu uliopita au wa Madrid kidgo inanichanganya,pia sikutaka kwenda levo za ozil nilishuka chini tu mi ni manchester united die hard lakin hao nlikuambia wapo vizur sna hakuna timu itapinga kua nao ila alli si mbovu dogo ni mzuri sikatai ila ana mengi ya kujifunza hawez kuwa juu ya ozil na coutinho.
coutinho anatoka brazil anapita inter anatua liver ktk makinda bora wa brazil neymar,oscar na yy huyo coutinho alikuwa wa kwanza kufika europe kwa ubora wake.
Chief hii ni PFA player of the year, wanachaguliwa wale wachezaji waliofanya vizuri kwa mwaka husika, sasa unapozungumzia habari za countinho akiwa inter au ozil wa msimu uliopita au wa Madrid kidgo inanichanganya,
Ozil ni mzuri ndio sikatai lakini je toka hii round ya pili ilivoanza kafanya nini cha maana? Delle alli katika umri wa miaka 19/20 anagoli 10 za ligi katika mechi 32 kitu ambacho ni zaidi hata ya lampard ( akiwa kwenye umri wa miaka 19).
Sina maana kwamba alli kafikia level za ozil ila kwa huu msimu delle Alli alikua vizuri pia anamwendelezo wa matokeo chanya ( consistent) kulko ozil, achilia mbali countinho
Alli amekuwa na performance consistency msimu mzima kuliko Ozil/Coutinho kwa umri wake na msaada aliotoa kwa Spurs anastahili kuwepo kwenye hiyo team.PFA wanaopiga kura ni wachezaji wenyewe,wangekuwa waandishi wa habari ungesema hizo jabari za utaifaAlli hakustaili kuwepo hapo kaanza hapo sio pake ndo mana nkakwambia labda utaifa ukizungumzia msimu mzima bas ozil hakos na mr liverpool alli bado sana
Alli amekuwa na performance consistency msimu mzima kuliko Ozil/Coutinho kwa umri wake na msaada aliotoa kwa Spurs anastahili kuwepo kwenye hiyo team.PFA wanaopiga kura ni wachezaji wenyewe,wangekuwa waandishi wa habari ungesema hizo jabari za utaifa