Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mapichapicha nilitupia kule MF...Muoneeeee kwanza ndo Nini kunitengaaaa!!!!
Usijali ipo siku tutaenda
Azam nao magumashi game LA Yanga kimya
Mapichapicha nilitupia kule MF...Muoneeeee kwanza ndo Nini kunitengaaaa!!!!
Man u hawana timu ya kike walikataa kuanzisha
Mungu saidia na leo MAN UTD tushinde
Kuku kuku tu jogoo jina wacha tuanzie na hilo GGMUNyota njema huonekana asubuhi japo own goal but ni juhudi yetu
Man U 1- O Crystal Palace
GGMU tatu kibindoni.Tutafika tu in Nzi 's voice. .....Asante Man U.. GGMU