Hilo ndo la muhimu mengine mbwembwe tu.GGMU tatu kibindoni.
Na imekuwa hvyo.......ameneeh Mungu saidia iwe hivyo
SwadaktaHilo ndo la muhimu mengine mbwembwe tu.
Hata sisi bado tuna mechi ngumu aisee west ham na leceister zote ugenini siyo mchezo.arsenal si bado hajacheza na man city?
Hata sisi bado tuna mechi ngumu aisee west ham na leceister zote ugenini siyo mchezo.
Mi nacheki sana game za under 21 ...kuna majembe hatarimi nataka van gal aendelee moja ya sababu kubwa ni vijana wa manchester united under 21 na walio na miaka 23 kushuka chini wakina perreira ,januzaj, timbo fosuh mensah , cameroon, varela, wilson, love na dogo mwenye roho mbaya kabisa
PAD MACNAIRE sipendi kuwakosa hawa na bado wengine wengi wapo kule under 21 hii ni kazi ya nick butt straika ambaye akikufunga goli hazirud hata umchezeshe kun aguero yeye akitupia moja tu ndo ntolee huyu ni RASHID bila ubishi hii ndo man mpya na ndio academy bora kwa sasa akija kocha mwingine watoto wote watasepa hawa.
wakuu hebu jazieni vijana wetu hawa tuwajue
Mi nacheki sana game za under 21 ...kuna majembe hatari
Kuna dogo anaitwa Keith Groeneveld ni full back toka ubeligiji miaka 16 yupo anafanya majaribio, kama atapita ataanzia U18 then atakua promoted kulingana na kiwango chake.mi nataka van gal aendelee moja ya sababu kubwa ni vijana wa manchester united under 21 na walio na miaka 23 kushuka chini wakina perreira ,januzaj, timbo fosuh mensah , cameroon, varela, wilson, love na dogo mwenye roho mbaya kabisa
PAD MACNAIRE sipendi kuwakosa hawa na bado wengine wengi wapo kule under 21 hii ni kazi ya nick butt straika ambaye akikufunga goli hazirud hata umchezeshe kun aguero yeye akitupia moja tu ndo ntolee huyu ni RASHID bila ubishi hii ndo man mpya na ndio academy bora kwa sasa akija kocha mwingine watoto wote watasepa hawa.
wakuu hebu jazieni vijana wetu hawa tuwajue
Kuna dogo anaitwa Keith Groeneveld ni full back toka ubeligiji miaka 16 yupo anafanya majaribio, kama atapita ataanzia U18 then atakua promoted kulingana na kiwango chake.
Ila hapo kwamba hao madogo ni kazi ya nicky butt kiaje chief sijakusoma fresh?
Sijafuatilia sana games za Spurs. Lakini huyu Alli si kaanza ku-shine kwenye half ya pili ya msimu ama?PFA Team of the year
Vardy. Kane
Payet. Mahrez
Kante. Alli
Rose. Morgan Aderwreld. Bellerin
De Gea
Sijui walitumia vigezo vipi? Ila pia huyu Alli yupo kwenye awards za PFA young player of the yearSijafuatilia sana games za Spurs. Lakini huyu Alli si kaanza ku-shine kwenye half ya pili ya msimu ama?