Timu imeshamshinda,mpira mbovu sana halafu tunacheza na vibondeLVG Sub zake wakati Mwingine mhh
Nipo job ndo nataka kuanza safari ya kurudi home,mpira wenu itabidi niangalie kny FBSante
Uko wapi kwani. Kwani uko kwa kile kibabu kule kisiju

Nini kinakuwashaNimesikitika sana Gestede kukosa goli Ayew ndiyo kaniangusha zaidi .... siyo mbaya hongereni kwa point 3
Sidhani kama neno lako umelitumia kiungwanaNini kinakuwasha
Pole sn na mvua hizi road zimeharibika kinouma hukoNipo job ndo nataka kuanza safari ya kurudi home,mpira wenu itabidi niangalie kny FB![]()
![]()

Asante mtani poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......kesho mi mgeni wako sina stress.Nimesikitika sana Gestede kukosa goli Ayew ndiyo kaniangusha zaidi .... siyo mbaya hongereni kwa point 3
Teehee teeehe teeehe ... karibu tena kale kawine nimenunua 2Asante mtani poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......kesho mi mgeni wako sina stress.
Na mimi nipogo na vi majiTeehee teeehe teeehe ... karibu tena kale kawine nimenunua 2
Mdogomdogo jamani maji yakizidi unga unakoroga uji GGMU.W is W ......lakini am not happy sijui tatizo Nini kwanini magoli hayakuji? Whyyyyyyyy? Hii mechi tulitakiwa tushinde magoli mengi sana tu. Tunashukuru hata kwa hili ,Thanks God for 3points.
Nimepitia mkuu tatizo siku hizi mnapakimbia kwenu ila msiniangushe leoNa mimi nipogo na vi maji
Karibu darajani mkuu
Pamoja mkuuNimepitia mkuu tatizo siku hizi mnapakimbia kwenu ila msiniangushe leo
