Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Origi vs Martial?
Kazi sana kuchagua hapo maana mmoja ni wa kimataifa mmoja ni local
 
Huyo hata kwa Rashford anasubiri sembuse martial?
Unataka tuongee kwa Stats au tuanze kupiga porojo?

Nenda chukua game alizocheza Martial na Rashford then gawa kwa mabao waliyofunga; then tuletee hapa wastani wao

Halafu kafanye hivyo kwa games za EPL za Origi gawa na bao alozofunga!

Stats haziongopi na usitishike na chenga bali soka tunahesabu assits na goal tu kwa watu wa mbele
 
Huyo hata kwa Rashford anasubiri sembuse martial?
Origi vs rashford that's all about. Utachukuaje comparison ya magoli kwa wachezaji wanaocheza nafasi tofauti? Martial anacheza pembeni na origi 9, chakujiuliza msimu mzima huu origi alikua wapi hadi anaonekana saizi? Kwenye chumba cha upasuaji alikua akumuuguza sturidge?
 
Hawa hata wasikupasue kichwa waache wafurahie ushindi wao wa jana.
 
Game ya Jana ilikua poa sana kwao aisee ( to be honest) ila nashangaa hadi wanaanza Ku compare aliekua mchezaji Bomu wa msimu pindi yupo lille kwenye ligi ya kipuuzi na the winner of golden boy award for the best U-21 player all over the Europe 2015.
 
Hawajiamini !!!! Mi Mwenyewe nashangaa wengine wakaacha kufurahia ushindi wao wanajilinganisha na Man U.....
 
Hiyo ndio furaha yao kubwa just to be compared to utd, Shannon adder alishasema "You will face your greatest opposition when you are closest to your biggest miracle."
 
Origi vs rashford that's all about. Utachukuaje comparison ya magoli kwa wachezaji wanaocheza nafasi tofauti? Martial anacheza pembeni na origi 9, chakujiuliza msimu mzima huu origi alikua wapi hadi anaonekana saizi? Kwenye chumba cha upasuaji alikua akumuuguza sturidge?
You nail it thanks a lot.
 
Back
Top Bottom