Ameeeen.Naiona Manchester United nne bora bila kengeza wala ushabiki.Ni hivi mechi zimebaki 4 kukamilisha ratiba ya EPL.
Man City atakumbana na New Castle,Stoke,Soouthmpton & Arsenal.Man City itaokota points 6 tu katika michezo minne iliyobakia na kufikisha points 66.
Arsenal itakumbana na West Brom,Sunderland,Arsenal & Norwich. Arsena itafanikiwa kutia kibindoni points 3 na kufikisha points 63 tu.
Man Utd itakumbana na C place,Leicester City,Norwich & West ham. Man Utd itanyakua points 12 na kufikisha points 68 na kunyakua nafasi ya tatu bila zengwe wala chenga.
Sina mengi nimeona ni vyema niwajulishe wanazi wenzangu wa chama kubwa tusiwe na wasiwasi Man Utd inagombea nafasi ya tatu si ya nafasi ya nne kama wengi wanavyofikiri.
Naomba kuwasilisha bila chenga.
Hahahaaaa sijapita kimya kimya.... team yangu inaniburudisha hadi rahaaa... top 4 yetuMy cute b usipite kimya kimya my
Good myHahahaaaa sijapita kimya kimya.... team yangu inaniburudisha hadi rahaaa... top 4 yetu
Na iwe hivyooNaiona Manchester United nne bora bila kengeza wala ushabiki.Ni hivi mechi zimebaki 4 kukamilisha ratiba ya EPL.
Man City atakumbana na New Castle,Stoke,Soouthmpton & Arsenal.Man City itaokota points 6 tu katika michezo minne iliyobakia na kufikisha points 66.
Arsenal itakumbana na West Brom,Sunderland,Arsenal & Norwich. Arsena itafanikiwa kutia kibindoni points 3 na kufikisha points 63 tu.
Man Utd itakumbana na C place,Leicester City,Norwich & West ham. Man Utd itanyakua points 12 na kufikisha points 68 na kunyakua nafasi ya tatu bila zengwe wala chenga.
Sina mengi nimeona ni vyema niwajulishe wanazi wenzangu wa chama kubwa tusiwe na wasiwasi Man Utd inagombea nafasi ya tatu si ya nafasi ya nne kama wengi wanavyofikiri.
Naomba kuwasilisha bila chenga.
Na nitakuwa hapa hapa my dear na bila kusahau vigodoro kule darajani..Good my
I'm so happy to see you here
Don't do vigodoro plzNa nitakuwa hapa hapa my dear na bila kusahau vigodoro kule darajani..

Ngoja na mimi nianze kusimama on your side.. sitafanya vidogoro tenaDon't do vigodoro plz![]()
![]()
![]()
![]()
Thx MyNgoja na mimi nianze kusimama on your side.. sitafanya vidogoro tena
I don't know where is she, ila lazma itakuwa kazini.Thx My
Where is My big wife? I Miss her so much
Say hello to herI don't know where is she, ila lazma itakuwa kazini.