Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Ngoja tuone mkuu kila lakheri. ..... teeehe teeehe siji kwenu maana everlenk amehamia kwetuNaingia final ya FA mapema. Halafu usije kwetu kuangalia TV yetu baki kwenu kwenye TV chogo
Ngoja tuone mkuu kila lakheri. ..... teeehe teeehe siji kwenu maana everlenk amehamia kwetuNaingia final ya FA mapema. Halafu usije kwetu kuangalia TV yetu baki kwenu kwenye TV chogo
Atakuja baadaye kusemaTokea lini tena?
Ngoja nimsubiriAtakuja baadaye kusema
Hahahahaaha ni Reds wenzetu Hawa hawalali hawanywi kazi kutunanga tu!!!......ki Europa I support them......nawaombea Walete heshima England.Atakuja baadaye kusema
Ngoja nimsubiri
Hongera sana kuwa na moyo huo aisee.Hahahahaaha ni Reds wenzetu Hawa hawalali hawanywi kazi kutunanga tu!!!......ki Europa I support them......nawaombea Walete heshima England.
Hahhahahaa adui Yako muombee mema .... yaani ila wanaongea hao hatari !!!!. ......ushindi wa jana washakuwa the biggest club in da world...Hongera sana kuwa na moyo huo aisee.
Mimi nawaombea njaa tu

Akifa kwetu furaha. Ushindi gani ule wa ngekewaHahhahahaa adui Yako muombee mema .... yaani ila wanaongea hao hatari !!!!. ......ushindi wa jana washakuwa the biggest club in da world...![]()
![]()
![]()

Mimi simoooo ngoja aje Ed n Edd nEddyAkifa kwetu furaha. Ushindi gani ule wa ngekewa
Wewe ngoja uone![]()
![]()
![]()
Hahahaha aje tu ngoja nimuite kabisa Ed n Edd nEddyMimi simoooo ngoja aje Ed n Edd nEddy
T eeeehe teeehe unatamani mngekua nyie whaaaaat a comeee backkķkkk .... kwenu hampati raha kama hiziHahhahahaa adui Yako muombee mema .... yaani ila wanaongea hao hatari !!!!. ......ushindi wa jana washakuwa the biggest club in da world...![]()
![]()
![]()
Hongera sana kuwa na moyo huo aisee.
Mimi nawaombea njaa tu
Hahahaha na sisi tupo nusu fainali wewe huoni kama buradani hapoT eeeehe teeehe unatamani mngekua nyie whaaaaat a comeee backkķkkk .... kwenu hampati raha kama hizi
Teeeeeehe teeehe na tunazidi toboa tu we omba njaa ikupate wewe
Teeeeheeee mkuu huku bet kweli maana roho inakuuma sana kifupi msimu ujao utakonda kabisa hahaaaaAkifa kwetu furaha. Ushindi gani ule wa ngekewa
Wewe ngoja uone![]()
![]()
![]()
Hapana sijabeti kabisaTeeeeheeee mkuu huku bet kweli maana roho inakuuma sana kifupi msimu ujao utakonda kabisa hahaaaa
Mimi simoooo ngoja aje Ed n Edd nEddy
everlenk usimuige Th Name ana roho mbaya jana alitoroka na cable yetu mgeni katutia hasaraHahahaha aje tu ngoja nimuite kabisa Ed n Edd nEddy
Hahaha wewe umezidizi kushinda kwetu toka asubuhi mpaka night kali