Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Jana furaha yangu ilianzia jangwani japo ilibidi kusubiri mpaka time zile fungulia mbwa kisha nikahamia London kwenda kuwa nyundoring West ham khalafu nikaishuhudia timu inayofundishwa na muhamasishaji simeoni ikipigana na kupata matokeo hapa nimeamka safiiiii.