Pale kati msisahau kumpanga Big Fella tafwazalini sana waungwana ni burudani kumuona yule mbuni akisakata kabumbu.
Mtakachofanya leo shauri yenu kama mtapasuana au kuuana kazi kwenu ila leo niko kwa mkopo timu ya wanainchi (Man City) namtakia heri mdogo wangu Yahya popote alipo na mimi nipo kwa leo hii.
Naanza kuona nyota njema ikingaa kwa rashifod
Ni dogo umri Mdogo pia huwa anakaa kwenye nafas
Kama ataendelea hiv hakika atakuwa mfungaji mzur kwa baadae