Hahahahaha mtani yaani unaweza usiamini lakini sijui Hata hii mechi tulicheza yaani sipo dunia ya muchezo kabisaaaa aiseeee kumbe mlitufunga hongereni sanaaaa
Yaani mtani sijui lolote kabisaaaaaaa na bora si kujua maana ningejiskia vibaya sana kuona Mteja wangu akikataa huduma yangu next time nitakupa kinachostahili ......lol
Yaani ukiwasikiliza washabiki wa liverpool,arsenal,chelsea utafikiri man utd iko bottom three wakati tuko juu ya liverpool na chelsea na arsenal sijui katuzidi points nne hivi. Lakini nilichogundua ni kuwa walizoea united inawaacha points 10+