Tumeshindwa kupata hata goli mmoja la ugenini kitu ambacho kinafanya mechi ya OT kuwa ngumuLiverpool wamecheza vizuri sana. Lakini penati was debatable na goli la pili lilianzia kwenye move ambayo ni offside kabisa. Kifupi refa speed ya game ilimshinda. Hii mechi sio EL ya kawaida,ni zaidi ya hivyo inahitaji refa strong.
Mbona unacheka tena nipe newsTeehee teeeeehe
Hali ni mbaya....angekuwa Sir Alex ningekuwa na matumaini lakini huyu Mwanafalsafa wala sitegemei muujiza. Liverpool sio Muyjitland hata jina lao silikumbuki!Tumeshindwa kupata hata goli mmoja la ugenini kitu ambacho kinafanya mechi ya OT kuwa ngumu
Mechi ijayo inatubidi tuzuie wasifunge goli hata mmoja huku tukiwa tunatafuta goli mbili mpaka tatu...ili kurudisha hope
PoleeeeHali ni mbaya....angekuwa Sir Alex ningekuwa na matumaini lakini huyu Mwanafalsafa wala sitegemei muujiza. Liverpool sio Muyjitland hata jina lao silikumbuki!
Kizee kichawi kile.Angalieni Mr bean alivyo na roho ya korosho pamoja na sisi kumsaidia wachezaji kibao...
Mathieu Debuchy has revealed he was denied a Deadline Day move to Manchester United as Arsenal manager Arsene Wenger did not want to "help out a rival".
Duh mpira kweli uwendawazimu mnavyojipa moyo kuhusu OT najiuliza ivi mna squad mpya au ile ile?au mna mpango wa kuchezesha wachezaji 15 sioni kitu kipya hapo Old Toilet ambacho mlishindwa kukifanya jana wenzenu Chelshit walikuja na kelele kama zenu kuwasubiri PSG nao wamekalia nawakumbusha hii game ipo jirani tu sio msimu ujao bora mtoe sababu nyingine ila hii ya OT haiwasaidii,komaeni na Wagonga nyundo msifutike kote.Mlistahili na ndio maana ikawa hivyo
See u at OT
Ngoja @cuteb na everlenk wajeMbona unacheka tena nipe news
Beki Smalling kasema the game is OVER huku Scholes na Rio wakiita perfomance ya Man U jana kama ni "shambles"!Mlistahili na ndio maana ikawa hivyo
See u at OT
Eeeh maana Depay na Carrick walijifungaEti nasikia mlishindi mbili kwa tabu sana
Dannnnnnnnn!kuliko nmshaur mtu ashabkie Liver bora ashabkie rede
I'm bookmarking this.Dannnnnnnnn!
Liverpool is getting better and better
Kwa kweli watangazajinwa ESPN huwa wananifurahisha sana,bia hushuka taratibuuu nikisikia kauli hizo
Mna bahati sana. Mpaka tujifunge aiseeEeeh maana Depay na Carrick walijifunga
Hizo goli nani atakae tupatia Mkuu? Let's be honest vile vizee siku hizi vinampira mzuri we angalia hata ile game tulivipiga moja tulibanwa sana, it was just a matter of time, hata mechi tunazoshinda huwa tunashinda basi tu,Tumeshindwa kupata hata goli mmoja la ugenini kitu ambacho kinafanya mechi ya OT kuwa ngumu
Mechi ijayo inatubidi tuzuie wasifunge goli hata mmoja huku tukiwa tunatafuta goli mbili mpaka tatu...ili kurudisha hope
Squard ile ile Walikula tatu, mlikuja na nyie tukawapangia vyanafunzi vya sekondari mlikula tatu, au umeshasahau?Duh mpira kweli uwendawazimu mnavyojipa moyo kuhusu OT najiuliza ivi mna squad mpya au ile ile?au mna mpango wa kuchezesha wachezaji 15 sioni kitu kipya hapo Old Toilet ambacho mlishindwa kukifanya jana wenzenu Chelshit walikuja na kelele kama zenu kuwasubiri PSG nao wamekalia nawakumbusha hii game ipo jirani tu sio msimu ujao bora mtoe sababu nyingine ila hii ya OT haiwasaidii,komaeni na Wagonga nyundo msifutike kote.
View attachment 329013
Hizo goli nani atakae tupatia Mkuu? Let's be honest vile vizee siku hizi vinampira mzuri we angalia hata ile game tulivipiga moja tulibanwa sana, it was just a matter of time, hata mechi tunazoshinda huwa tunashinda basi tu,
Unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe soma comments zako hapo juu alafu toa ufafanuzi upya kwiiiii kwiiiii au kama vipi zikane kua moja haujaandika wewe maana haueleweki umesimama kwenye jambo gani.Squard ile ile Walikula tatu, mlikuja na nyie tukawapangia vyanafunzi vya sekondari mlikula tatu, au umeshasahau?