Manchester United (Red Devils) | Special Thread


kwa refa huyu wasahu . hahahhaha hakuna upendeleo tena na wao wiki chahche zilizopita wameanza kuonja ladha ya urefa mbovu ...........

Sasa hii mechi sijui goli zote watasema refa.
 

Mkuu ndo maana nikasema EPL ni nzuri sana! Sikuamini Newcastle kuchomoa mechi ile.....lbada na leo Manure!
 
we kweli una matumaini, kwa performance hii unategemea tutarudisha ata goli moja..unless labda tunaangalia mechi mbili tofauti. We are devoid of passion, urgency and spirit.

Mkuu ni kweli mpira mbovu ila ndio hivyo sasa...lakini naona kidogo wamebadilisha mpira....
 













Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 







Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Zinarud zote tatu, msijali

Dakika ya 83 tunasubiri magoli yako chacha ... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Yaani hapa dakika 90 ndo nitakubali............

Bado dakika leo usiku wanarudia mpira mwambie Furngie abadilishe system khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
<p>Awa was8ng8 Liva kila game wangekuwa wanacheza hivi si wangekuwa Top 3?</p>

...wewe una team yako, na wao wana team yao...acha kuwanyanyapaa wenzio bana...!

tayari matairi ya bajaj.....asante kaka.....bado nimeshika kitovu kwa nguvu sana ili man asipate kitu.........

...haya bana, taratibu lakini usije ukakichomoa! ha ha ha..

Mkuu ni kweli mpira mbovu ila ndio hivyo sasa...lakini naona kidogo wamebadilisha mpira....

...kukosekana kwa Rio na Vidic nilitegemea SAF angeanza na O'shea...
I hope mtapata goli japo la kufutia 'kamasi'...

 
halafu nani huwa ana hasira za ajabu kweli na hazia msingi..........
 
mkosi wa jezi nyeupe unaendelea lol... Ila kichapo cha leo kinauma especially kutoka kwa liverpool.. Maana wakitoka hapo wanaweza kushindiliwa tatu na west ham..
 
mkosi wa jezi nyeupe unaendelea lol... Ila kichapo cha leo kinauma especially kutoka kwa liverpool.. Maana wakitoka hapo wanaweza kushindiliwa tatu na west ham..

Mkuu jana tulipata point moja mlichonga sana kama vile tumefungwa chacha leo njomba kiko wapi? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee dakika 3 hizo za majeruhi rudisha magoli chacha kwa Brown envelopes ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Haya goli la kwanza hilo tunasubiri mawili khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmechafua gazeti kiduchu.
 

Kabisa huyu Oshea huwa anacheza vizuri ile namba so sijui kwa nini walimuweka bench
 
mkosi wa jezi nyeupe unaendelea lol... Ila kichapo cha leo kinauma especially kutoka kwa liverpool.. Maana wakitoka hapo wanaweza kushindiliwa tatu na west ham..


...huyo CHICHARITO kawatoa...
 
Jamni hivi goli zote hizo tumepigwa kweli au ndio mambo ya marefa kuichukia man u?...ila mwaka huu ubingwa wetu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…