Poleni kwa kipigo.....
Niliwahi kusema hapa kuwa nyie mtamaliza ligi mkiwa chini ya westham. Hali yenu c nzuri na mna tough fixture inawasuburi.
Pole dada yangu everlenk ingawa kule kwa mchepuko wako mambo ni mazuri. 12 point dhidi ya mahasimu wenu wakuu. Kwa hivi vitoto mnavyochezesha mjiandae kwa vipigo zaidi.
Kinachoniuma mgonjwa alianza kupata nafuu na leo amekula vizuri tu ila ndio nashangaa ghafla MAUTI yamemkuta msiba wa namna hii unauma sanaaaaaaaa...!
Ila it doesnt MATA what RONDON did to us kwiiii kwiiiii top four inasakwa kwa kibatari sijui kama tutaiona uwiiii.