Still tuna wachezaji wazuri sana chipukizi tukipata kocha mzuri hii timu itakuja ku-dominate baada ya miaka 2.Kwa sasa Woodward hapaswi kusajili wachezaji wengi wa bei mbaya
Valera,Shaw,Mensah,Jackson,Depay,Pereira,Martial,Lingard,Rashford,Januzaj wote hawajafika miaka 23 Next season tunahitaji striker kiungo,winga na striker mmoja tu