Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
The game will be a barren draw today
Hahahahaha angalie msije mfukuza huyo klopp wenu
Teheee teeeehe kampeni yenu ya LVG out itanza upya
acha hizo basi. Ila lazima tuwatoe nyieNawasikitikia man u kwa msimu huu watamaliza chini ya westham, soton, na Everton. Sijaonani kwa namna gani mnaweza kuwa juu ya hizo timu. Angalia fixtures zenu zilizobakia![]()
Hapo game rahisi ni dhidi ya westbromwich Albion. Hizo nyingine jasho litawatoka. Bye bye UCL bye bye Europa league.
Wengi sana. Hope tutafanya vizuri kwenye hii mechiGGMU
Hii timu majeruhi wengi mno
Tuombe iwe hivyo... ila hii hali ya kuwa na majeruhi wengi inafanya mechi iwe ngumu kwetu.Wengi sana. Hope tutafanya vizuri kwenye hii mechi
Hope tutashinda, hata game nimeshindwa kuangalia kabisa. Majeruhi wanatukosti sana leoTuombe iwe hivyo... ila hii hali ya kuwa na majeruhi wengi inafanya mechi iwe ngumu kwetu.
Ila kwa sababu tunaocheza nao ni tawi letu tiifu... tunaweza kucheka muda wowote kuanzia sasa
Yeah ninaangalia hapa.. mpaka sasa tumewadhibitiHope tutashinda, hata game nimeshindwa kuangalia kabisa. Majeruhi wanatukosti sana leo
Vipi wewe unaangalia hiyo game?
Angalau maanaYeah ninaangalia hapa.. mpaka sasa tumewadhibiti