Mkuu kwa hiyo sasa tupo pamoja tunavosema van gaal kafeli and he should go?Tatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited
Hilo ndio kosa lake kubwa hawapi wachezaji wawe huru uwanjani ndio maana wakina Di Maria wakaja kuonekana hawana kituTatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited
Bora haya matokeo tungeyapata kwa Giggs tungesema anajifunza but philosoply ya LVG haiwezi kufanya kazi kwenye EPL,Last week tulidiscus why United wasimsajili huyu Austin kwa mkopo leo anakuja kutufungaMnamtaka nani aje?
Naona umejiunga na #TeamRRONDO and company kumkataa LVGBora haya matokeo tungeyapata kwa Giggs tungesema anajifunza but philosoply ya LVG haiwezi kufanya kazi kwenye EPL,Last week tulidiscus why United wasimsajili huyu Austin kwa mkopo leo anakuja kutufunga
Wewe hujazoea tu? Maana kutwa kushinda kwa jirani Hujazoea tu ku-troll jirani ambaye ha-trolliki tena?#WhatMagufuliWouldDo? Mtazowea tu msimu huu...
Utakubali tu......LVG IS USELESS,CLUELESS.......Doh! It's getting difficult to defend this....
Aje ht JULIO...Huyu Lisa Van Gal ni anaboa xn yaan anakaa tu km kiwete vileMnamtaka nani aje?
Leo washabiki uwanjani walikuwa wanamtukana LIVE....na kwasababu ni mbishi atakaa mpaka afukuzwe....the guy is USELESS,mimi niliona hio loooong time!!!Tatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited
Kwa stage tuliyofikia sasa...hilo suala halina mjadala kuwa upande upi ni mbovu... philosophy imeshindwa kufanya kazi.Nafikiri washabiki wote wa Man Utd tukubaliane kimoja kati ya hivi viwili, either kocha ni mbovu au wachezaji ni wabovu!!! Mimi binafsi na uelewa wangu mdogo naamini KOCHA LVG NI MBOVU NA ANATAKIWA AFUKUZWE HARAKA SANA, kuna timu zina wachezaji wa kawaida tu lakini zinatusumbua sana!
Huyu kocha anazingua sanaKocha gan hana hata moral ya ushindi? Akikaa ndo kakaa ana mafail Ka mkandaras😉😉😉
Unamaanisha nini hawachezi tena? Like infinitely?!? Jamaa wana injuries tu! Wakipona watarudi. Ashley nafikiri atafanyiwa groin surgery; na Antonio yupo under rehab sasa.Man Utd wamepoteza uwezo wa kushambulia na kusaka magoli kupitia Antonio Valencia na Ashley Young ambao hawachezi tena.