dwoxye
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 679
- 353
Acha tu mkuu!Teh teh teh......kazi ipo
Acha tu mkuu!Teh teh teh......kazi ipo
Ni kweli asee, ona tunaenda mechi ya 22 na West Ham kakaa juu yetu.Ngoja tuone kitatokea nini? Tunaweza shuka kwenye msimamo wa ligi
Me najuliza hiyo top four tutafika kweli?Ni kweli asee, ona tunaenda mechi ya 22 na West Ham kakaa juu yetu.
Jana wamecheza vizuri
Me najuliza hiyo top four tutafika kweli?
Haya ni worse results aisee mechi 11 tumeshinda mbili tena kwa tabu sana. Tuna mlima mkubwa wa kupandaLabda miujiza itendeke mkuu, ila chini ya huyu mzee sidhani.
Yani mkuu angalia, tumecheza mechi 11 tumeshinda 2, halafu ushindi wenyew n wa shida(1 goal difference) na wa wale watt wa daraja la chini huko tumeshinda kwa penalty!
Kwa hali hii tunapata wapi ujasiri wa kudhani tutamaliza big four. Sidhani.
Kabisa mkuu, yani me nakumbuka niliwahi kwenda kuangalia UEFA saa 4 usiku na kesho yake nina mtihani wa form 4(NECTA) saa 2 asubuhi, ila kwa sahizi sioni umuhimu wa kuiangalia hata km kesho yake sina kazi ya kufanya.Lvg ana bahati na man u waache mfumo Wa kulindana inauma mpk imefikia mahali huoni umuhim Wa mechi bora ulale tu
Haya ni worse results aisee mechi 11 tumeshinda mbili tena kwa tabu sana. Tuna mlima mkubwa wa kupanda
Hata sielewi kwanini anafanya hivi.Sana mkuu, labda abadilike, ila kwa hii tabia yake ya kuwahamisha hamisha namba wachezaj na kuwafix kune nafasi zao cjui km tutafika.
Hahahaha kweli philosophyPhilosophy...😀😀
Weka video picha haisadifu sana .....![]()
Was this a handball really!?????
Clear penalt![]()
Was this a handball really!?????