Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ebana ehe on the deadline what a game .... .... . draw match .. ...extra time now .... .
 
Msimlaumu LVG ingawaje nimeona kwa less ya 45minutes mmecheza kama Manchester United ya zamani leo.
 
Lingard,Fellaini walipaswa kufunga zile chance za wazi,Msimu huu tumeshindwa kumfunga Newcastle
 
_87675925_herowayne-rooney-of-manches.jpg


What a game .... .. Manure were up (2-0), were pegged back to 2-2 then Manure went up 3-2 Magpies levelled at 90min ...... ndio EPL hiyo lakini MD hafai kuwa refa.
BTW west ham wameshinda mechi yao hivyo wapo juu ya manure kwa point 1
 
Aisee mechi 11 tumeshinda 2 tu, but we have to be happy, we won two in a row
 
Karibuni kesho kwenye jukwaa la Gunners kuna mtanange wa EPL tena, tutakapokwaana na Loser Fools - Anfield.
 
Disappointed today. But, a bit happy in the season's context.

Chief leo mmeonyesha mpira wenu wa zamani ingawaje defending ndio zimewalostisha.. LVG atawarudisha top 4 hivi vitimu vyingine Spurs, West ham United na Leicester City vitarudi chini February.
 
Msimlaumu LVG ingawaje nimeona kwa less ya 45minutes mmecheza kama Manchester United ya zamani leo.
Kabisa. Kipindi cha pili LVG aliwaacha wachezaji wacheze huru...inauma kukosa points 3, lakini overall siyo mbaya kwa mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom