Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nipo hapaWenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha?
Nipo hapaWenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha?
Na wewe unaonekana baada ya Newcastle kusawazisha?Wenyeji mmekimbia baada ya Newcastle kusawazisha?
Usiku huu wengine wamelala
Duuuuh hata siamini, naona kaokoa jahazi!!! wapi Wacha1Roooooney goaaaaaal
Hata tukishinda hii game LVG anahitajika kubadilisha misimamo yake ya ajabu ajabuLeo LVG hatolaumiwa.
Sifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake??Doh! Kwa mara ya kwanza namwona LVG kwenye touchline naona anahitaji sana ushindi hapa. Pengine ni mwanzo wa kubadili misimamo yake ya ajabu
Alisimama kwa muda...na arukaruka pale wachezaji wanapokosa magoli...seems to be desperate kwa ushindiSifwatilii gemu, vipi leo kasimama??? au kakaa akiandika kama kawaida yake??