Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.

Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
I know hukuangalia mechi,labda utuambie maana ya shoot on target.
Chelsea hawakushoot on nao target?
Kama umeangalia mpira utagundua hizo statistics ni za kupikwa
 
Manchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.

Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
De Gea alikoa mashuti ya Pedro,Azpi na kichwa cha JT while TBO aliokoa shuti la Rooney na Herrera,Mata na Martial waligongesha mwamba
 
Manchester United amecheza vizuri dhidi ya Chelsea
90 Minutes.
1 Shoot on target.

Arsenal alicheza vibaya dhidi ya Southampton
90 Minutes
12 Shoot on target.
Hii status imenipa shock kidogo walitumia vigezo gani?
 
Man u, inauma sana watu wanakuachia mpira uuchezeee halafu anajua Wap atakunyang'anya halafu mnasema timu ilicheza vzr, kwa mpira ule mlitakiwa kushinda hapo mshind n Chelsea aliyekuja na nia ya droo then akaipata
 
Baada ya kutumia pesa ndefu £200Millions bado mnasuasua mid-table hahahaha.
 
De Gea alikoa mashuti ya Pedro,Azpi na kichwa cha JT while TBO aliokoa shuti la Rooney na Herrera,Mata na Martial waligongesha mwamba
sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.

Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
 
sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.

Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Rooney hakupiga shuti TBO akapangua au na wewe umehadithiwa?
 
Gea post: 14983115 said:
sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.

Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Sasa De Gea ashukuriwe Vipi wakati amesajiliwa kwa kazi hiyo?
 
sasa unabisha nini hapo?! wakati shot on target ni hiyo ya Herera tu.

Manure wabovu!' mshukuruni Dada Gea.
Kumbe jina lingine unaitwa Gea!! Duhh!!!
 
Attachments

  • 1451470071353.jpg
    1451470071353.jpg
    25.7 KB · Views: 51
Jamani LVG anaendeleaje, lini atafukuzwa kazi na kumkabidhi mikoba kocha mweusi Giggs?
 
Kwa mara ya kwanza timu imecheza vizuri sijui tatizo ni kocha au wachezaji.

Pole sana mmecheza vijuri eheee? Mlishinda goli ngapi? Khe khe khe khe khe khek he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtajuta nachikia mna mawazo ya kunrudisha mzee wa Brown envelopes awaokoe lakini Mike Dean ndio ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooo amewekwa kwapani na wakabaji wa Gunners wamemshika kooni hakohoi khe kh khe khe khe khek hek he khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom