Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tutapambana mkuu siyo lazima wote tupitie kupotea huko,ila juhudi nayo inalipa tutakaa Sawa tu......halafu leo tupumzishe buana jamvi la tanga tushalianua hili tumelipeleka Anfield angalia nawe lisikukute.

Ha ha ha ha mi wala hata siwafanyii masikhara kivile mi nawapa ukweli ambao Nzi anauona

ngoja niwapumzishe tusubiri game yetu na City kesho
 
Last edited by a moderator:
Top 4 mnaweza ingia tena saafi kbs

mlichonacho mmepush "Panic" Button

Kuingia ni kusaka point kuanzia 65 kupanda....kitu ambacho mnaweza

sema mpaka mbadilike na inawezekana kbs

Afu Belo ubingwa unaosema ni upi? mmenunua wachezaji 7 msimu ulioisha wengine kadhaa....kupata hata First Eleven ni Ngumu, ukiachia mbali Stability, akija mwingine nae atafumua fumua timu atengeneze yake (itachukua tena msimu mzima)

asee haya tupo hapa.....Mfano uchukueni kwa Real madrid wamefukuza makocha wengi wamenunua wachezaji wengi sana ila miaka yoote hiyo LA LIGA MOJA tu

UCL moja toka 2007

Msimu huu ubingwa wa EPL ulikuwa wazi sana baada ya wapinzani wote kuanza vibaya, Liverpool,Chelsea na Man City wameanza vibaya sana while Arsenal so far sijaona walicho-improve ulikuwa wakati muafaka either bingwa au namba 2 but timu inavyocheza hata top four tunaweza tusipate kinachotubeba wapinzani nao wamezidi kuwa wabovu.Tulianza ligi vizuri sana defence na midfield walicheza vizuri sana (Darmian,Shaw,Blind,Smalling,Morgan,Mata,Herrera) walikuwa wanacheza vizuri sana.Msimu huu hatujapata majeruhi kama msimu uliopita kama Smalling akiumia tutafungwa sana,kocha anapaswa kubadilisha tactics na ku-motivate wachezaji
 
Last edited by a moderator:
Just a rumours bro, kwa hali ilivo pale utd kila mtu atataka kuongea lake ili avute attention ya watu na kupata kick, ila class of 92 ndio wanampigia sana chapuo mou kwamba aje kufundisha, but sioni van gaal akimaliza msimu huu akiwa bado kocha wa utd, next game britania stadium hatuchomoki

My kaka japo hali mbaya ila huwa sikiri kushindwa.... hivyo hivyo tutachechemea tu na kuchomoka.
 
Ha ha ha ha mi wala hata siwafanyii masikhara kivile mi nawapa ukweli ambao Nzi anauona

ngoja niwapumzishe tusubiri game yetu na City kesho

Naelewa best unachoongea ila sasa uvumilivu huu mpaka lini? Haya mambo mnayaweza nyie Arsenal bana!!!...Makosa ya LVG ni madogo sana raiti angerekebisha tungekuwa bonge la timu tungetisha mbaya msimu huu, kosa alilofanya kutosajili striker na CB wa maana kwa kiburi kabisaaa matokeo yake siku za mwisho ndo Anazima moto na Martial, kijana ni mzuri ila sasa hapewi uhuru matokeo yake kijana anaonekana Useless.
 
Last edited by a moderator:
[/color]

My kaka japo hali mbaya ila huwa sikiri kushindwa.... hivyo hivyo tutachechemea tu na kuchomoka.

Dada angu ule uwanja ni mgumu mno hasa kipindi kama hiki, ni eneo lenye baridi na upepo mkali sana ( nadhani kuliko maeneo mengine ya england) hyo inawapa shida sana wachezaji wa timu pinzani, jaribu kukuangalia city alivokula za fasta pale, still walikua wanaomba mpira uishe, bora tungeenda mapema mwanzoni mwa msimu kabla ya haya majira, msimu uliopita tulishinda 2-1 (kama sikosei) ila tilitafutwa balaa,

Ila ngoja tusubiri siku yenyewe
 
Naelewa best unachoongea ila sasa uvumilivu huu mpaka lini? Haya mambo mnayaweza nyie Arsenal bana!!!...Makosa ya LVG ni madogo sana raiti angerekebisha tungekuwa bonge la timu tungetisha mbaya msimu huu, kosa alilofanya kutosajili striker na CB wa maana kwa kiburi kabisaaa matokeo yake siku za mwisho ndo Anazima moto na Martial, kijana ni mzuri ila sasa hapewi uhuru matokeo yake kijana anaonekana Useless.

so far kikosi chenu hamuhitaji hata huyo unaesema CF na CB,what you need is scoring goals, na mpunguze injuries toka aje LVG naona mmekuwa kama arsenal ya wenger injuries kama zinawazoea vile

ila mi naamini kuwa mtakaa sawa mmepanic tu

agu hapo kwenye RED hakuna kuzoea matatizo ila yakifika ndo yamekuwa yanatokea unafikia hatua unazoea

so utazoea tu khe khe khe khe (joke)

ila sie tuna back to back FA cups tunalifukuzia EPL ambalo mwaka huu naona halina mwenyewe who knows...tunaweza kujilamba mwishoooni
 
Dada angu ule uwanja ni mgumu mno hasa kipindi kama hiki, ni eneo lenye baridi na upepo mkali sana ( nadhani kuliko maeneo mengine ya england) hyo inawapa shida sana wachezaji wa timu pinzani, jaribu kukuangalia city alivokula za fasta pale, still walikua wanaomba mpira uishe, bora tungeenda mapema mwanzoni mwa msimu kabla ya haya majira, msimu uliopita tulishinda 2-1 (kama sikosei) ila tilitafutwa balaa,

Ila ngoja tusubiri siku yenyewe

Dah! !! Ila huyu baba LVG alivyo na surprise unaweza kuta tukawakalisha vibaya tu.....yaani mi huwa simuelewi kuna wakati naona kama anafanya kusudi ...
 
John Hartson on Louis van Gaal: "He?s
taken them backwards, I?d change it now
and I?d bring Mourinho in."
 
Initial contacts have commenced between
Jorge Mendes and Manchester United for
Mourinho. [Diario Noticias]
 
Jos? Mourinho has turned down a move
to Roma, and are having talks with
ManUtd . [Sky Italy]
 
Manchester United are 'close to hit the
panic button' with Louis van Gaal.

Ed Woodward would 'jump at a trophy
signing' like Jos? Mourinho. [Mail]
 
12369177_1657979040908972_7724429823462315526_n.jpg

Hahahahahahahahahahahaha #consolation

Jamani wakati wa sikukuu huu wacha neni na kumfukuza Van Gaffe yeye huchema ukweli tu ''the glory days are over'' khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ooops ''the brown envelopes era is over'' Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee kuleni matapishi sasa ya Moureen!
 
Next week......halafu Shem wangu huku uwe unakuja na faraja mwenzio napumulia mashine. ....

My everlenk.....kiukweli cku hz hatuna raha kabisa kitu kibaya zaidi kila tunayecheza nae anazidi kujiamini kwamba hatutishi ....Halo hii cjui itaondoka ln
 
Last edited by a moderator:
Manchester United's record-breakingly bad run of form under Louis van Gaal continued with loss to Norwich City and here are 10 things we learned.
1. Van Gaal is shite.
2. The philosophy is not for modern football, it's also shit.
3. There is no team spirit - the backbone us broken under dictatorial processes and lumbering philosophies.
4. There is no point of relief; the defence has also broken and it's not getting mended.
5. It's the ultimate show of disrespect and apathy when Van Gaal just sits his lazy ass there; he looked defeated and overwhelmed ‪#‎LVGOUT‬
6. Anthony Martial is a golden boy - long may he continue.
7. Ashley Young is still as sharp as ever - he never gave up....
8. In fact, nobody gave up - Rooney tried cycle kicks, Blind was all over and Carrick's passes were sumptuous BUT; something is missing and I just can't put my finger on it. I can point at the Bench, though, because that's what LVG is paid to do and he seems incapable.
9. There is no hiding from this - LVG needs to go and most importantly. he needs to go quick, otherwise, the magic of Old Trafford is slowly dying and it's depressing.
10. Mata has lost his mojo. He lost balls, possessions and his passes were bad. Not good at all.

10426736_429214853939657_2651121990225249920_n.jpg
 
Haya kimeshanuka tena Van gaal kapewa mechi moja dhidi ya stoke city akichemsha anasepaa.......
 
Back
Top Bottom