Isaac nyonyox
Member
- Mar 11, 2015
- 60
- 21
Bora ampe team Giggs
hawa futuhi fc. wanajijua wana timu mbovuu!' halafu wanabwabwaja hovyo ...............
Huelewi au huoni tofauti kati ya majukwaa mengine na lile la Ze bluuziii. Kwanza niseme makocha wa Timu hizi wana nidhamu na wanaheshimu makocha wengine. Hawana udomo-kaya wa aina ya Moureen. Na wapenzi msimu wa Ze Yokohama pia wanaposhinda mechi au kikombe wanageuza midomo yao kuwa ile midomo ya kwenda kwa choo, wanachonga mneno kama Nyerere, kiswahili mreefuuu. Hiyo ndio sababu nimehamia kule lakini napita na kusoma majukwaa yote.Hahahahaaaa Mkuu we acha tu..... Huyo jamaa yeye na Chelsea tuuuu hana timu ingine ya kuikosoa au kuishambulia Zaidi ya Chelsea tu...... Sasa nikaona aje huku alete uchambuzi wake huku.......
Mimi huangalia kupitia mabufurubuku.Mimi naangalia fesibuku
Huyu Martial si tulisikia anaitwa Thiery Henry..,?
Lazima wamwite Henry,si unajua kwenye nchi ya Vipofu mwenye Jicho moja huwa mfalme.
Huelewi au huoni tofauti kati ya majukwaa mengine na lile la Ze bluuziii. Kwanza niseme makocha wa Timu hizi wana nidhamu na wanaheshimu makocha wengine. Hawana udomo-kaya wa aina ya Moureen. Na wapenzi msimu wa Ze Yokohama pia wanaposhinda mechi au kikombe wanageuza midomo yao kuwa ile midomo ya kwenda kwa choo, wanachonga mneno kama Nyerere, kiswahili mreefuuu. Hiyo ndio sababu nimehamia kule lakini napita na kusoma majukwaa yote.
Kwa "Vangirl" nilisoma sehemu, gazetini kuna mchambuzi alisema Van gaal hatoshinda kikombe chochote kwa muda atakaokuwa na Mashetani wekundu. Dalili zinaonesha hivyo. Ingawa ameimarisha kikosi ukilinganisha na Moyes lakini bado hakijatulia.
Webb katumbua jipu
Howard Webb is widely recognised as one of the best referees the Premier League has produced, refereeing in the 2010 Champions League final as well as the- 2010-World Cup final.
However, there has always been a running joke that Webb had a soft spot for-Manchester United, with fans claiming the former policeman would officiate in favour of the Red Devils. And now Webb himself is getting in on the joke.
Speaking to BT Sport, Webb joked that United have not been the same team since he retired in 2014.
fernebache vs loko moscow
mityland vs man utd
hawa hata siwajui kwa kweli!
fernebache vs loko moscow
mityland vs man utd
hawa hata siwajui kwa kweli!
Mityland? Duh, ndo naisikia leo! Huko waliko watakuwa wanasema wana gundu kukutana na Manutd. Watakuwa wanalalamika sana!
fernebache vs loko moscow
mityland vs man utd
hawa hata siwajui kwa kweli!