Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baeleze bana mpira wao siku hizi wa kuungaunga tu tangu alipoondoka mzee wa Brown envelopes chacha wanalialia tu , Umemwona Fungi alikuwa jukwaaani machozi yanamtoka khe khe he khek hek hekhek he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Leo ushakuwa upande wa Maureen....... aiseeee tunahesabu masaaa tu Amin Amin kitambo kidogo utakuwa nami Europa......kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
#GGMU all the way.....mnaotaka LvG atimuliwe sasa...ebu leteni chaguo la kocha aliye huru sasa....I would still go with LvG until the end of the season for stability...otherwise, ukileta kocha mpya sasa, ni kuleta risk ya kuondoa hata stability kidogo iliyopo sasa....najua kila mshabiki amechukia timu kutolewa UCL...lakini kumtimua LvG sasa wala haitosaidia....let's wait and see mwisho wa msimu mambo yatakuwaje....then I would go for Pep or Carlo, though I prefer Pep more...

Hopp #ManUnited

Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia
 
Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia

Smalling na Martial hawajaumia kweli? kama kweli hizi busy Xmass fixtures zinazokuja zinaweza zikazidi kuwa ngumu kwa upande wenu...Smalling kama kaumia ni balaa hilo.
 
Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia
Kweli. Ndiyo maana nikasema, tuone msimu utaishaje. Siyo EPL tu hata Europa Cup itakuwa siyo mbaya, ingawa shida ya Europa League ni fixtures kuwa nyingi na Alhamisi, yaani siku mbili kabla ya mechi za EPL Jmosi au Jpili. Kama FA wakikuonea huruma, wanakupangia mechi za J3 usiku.
 
Bora nilifanya maamuzi a kuutumia usiku wangu kwa kulala usingizi mtamu kuliko ningeenda kuangalia ujinga wa Van Gal.Nadhani mpaka sasa watu watakuwa humu ndani watakuwa wameanza kunielewa kwanini nimekuwa nikimpinga sana li-mtu linaitwa Van Gal,serious i wish hata kwenye ligi tumalize below top ten ili huyu jamaa atimuliwe tuu.

SHAME ON YOU VAN GAL
SHAME ON YOU MAN UTD
#LVGOUT

Better Moyes than this silly LVG
 
Amin Amin nakwambia kesho utakuwa nami Europa.......ding dong ding.....

Haha haaa.... mamiii hiki kikombe cha kunyukwa kwa timu za England kila msimu wa hii ligi tuombe tuombe timu nyingine zisikinywee kwa kweli maana tumeshadhalilishwa sana!!
 
Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia

Nilipokuwa nasema LVG mbovu wengi walikuwa hawanielewi...this guy is useless, tumepewa group laini sana na bado tumeshindwa ku qualify! Afadhali ya Moyes alifika qt finals na timu yake haikuwa nzuri kama hii. LVG kayumia hela nyingi hamna lolote alilobadili....ushindi unakuja kwa sababu ya individual player's effort nlkn style wala ufundishaji wake hauwezi kuleta ushindi.

Jina kubwa la kocha lakini uwezo mdogo, na mpaka atakapoondoka huyu mtu ndio tutaona mafanikio.
 
Kweli. Ndiyo maana nikasema, tuone msimu utaishaje. Siyo EPL tu hata Europa Cup itakuwa siyo mbaya, ingawa shida ya Europa League ni fixtures kuwa nyingi na Alhamisi, yaani siku mbili kabla ya mechi za EPL Jmosi au Jpili. Kama FA wakikuonea huruma, wanakupangia mechi za J3 usiku.

Bora nilifanya maamuzi a kuutumia usiku wangu kwa kulala usingizi mtamu kuliko ningeenda kuangalia ujinga wa Van Gal.Nadhani mpaka sasa watu watakuwa humu ndani watakuwa wameanza kunielewa kwanini nimekuwa nikimpinga sana li-mtu linaitwa Van Gal,serious i wish hata kwenye ligi tumalize below top ten ili huyu jamaa atimuliwe tuu.

SHAME ON YOU VAN GAL
SHAME ON YOU MAN UTD
#LVGOUT

Better Moyes than this silly LVG

LVG hataondoka mpaka amalize mkataba wake kwahio tuhesabu misimu miwili ya maumivu! Katumia hela nyingi hamna lolote kla maana aliloongeza....anashindwa ku qualify na ka group ubwete hivi!!!!

Kama unakumbuka nilisema man utd hana uwezo wa kwenda kumfunga wlfsburg na tutatolewa,hamna kocha man utd
 
Poleni sana Man,

Tatizo mna midomo mirefuuuu mnapobahatisha!! Ila mkifungwa tu mnakuwa wapole kama mtu anayesubiri matokeo yake ya vipimo vya HIV

Heheeeeeee!!😅😆
 
Back
Top Bottom