ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,360 Dec 8, 2015 #41,761 nasmapesa said: furaha utaipata wap wakati anashabikia arsenal Click to expand... mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe
nasmapesa said: furaha utaipata wap wakati anashabikia arsenal Click to expand... mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Dec 8, 2015 #41,762 Wofubag 4: 0 Man u
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Dec 8, 2015 #41,763 Morgan mbona simuoni hata sub
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Dec 8, 2015 #41,764 everlenk said: Don't bother, kama uko Dar twende zetu tukajiselfie....lol Click to expand... Sawa laaziz everlenk....naishi Tandale !!!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
everlenk said: Don't bother, kama uko Dar twende zetu tukajiselfie....lol Click to expand... Sawa laaziz everlenk....naishi Tandale !!!!!!
ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,360 Dec 8, 2015 #41,765 everlenk said: Pole shemeji weee andaa huzuni tu....#GGMU Click to expand... shem ntakutafuta baada ya dakika tisini
everlenk said: Pole shemeji weee andaa huzuni tu....#GGMU Click to expand... shem ntakutafuta baada ya dakika tisini
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Dec 8, 2015 #41,766 Th Name said: Morgan mbona simuoni hata sub Click to expand... Morgan,Herrera ni majeruhi.Leo bora Fellaini anacheza kama DM
Th Name said: Morgan mbona simuoni hata sub Click to expand... Morgan,Herrera ni majeruhi.Leo bora Fellaini anacheza kama DM
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Dec 8, 2015 #41,767 Belo said: Morgan,Herrera ni majeruhi.Leo bora Fellaini anacheza kama DM Click to expand... asante kwa taarifa. majeruhi wengi sana ngoja tuone kazi ya Fellaini leo
Belo said: Morgan,Herrera ni majeruhi.Leo bora Fellaini anacheza kama DM Click to expand... asante kwa taarifa. majeruhi wengi sana ngoja tuone kazi ya Fellaini leo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Dec 8, 2015 #41,768 ibra87 said: shem ntakutafuta baada ya dakika tisini Click to expand... Hewalaaaaaaaaaaa
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Dec 8, 2015 #41,769 ibra87 said: mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe Click to expand... sijui nicheke sijui nilie kwa huruma mkuu mechi 15 point 15 pole sana
ibra87 said: mkuu ntake Radhi mimi nipo kwenye daraja linaloendelea kuporomoka lakini siondoki kamwe Click to expand... sijui nicheke sijui nilie kwa huruma mkuu mechi 15 point 15 pole sana
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Dec 8, 2015 #41,770 Bitoz said: Sawa laaziz everlenk....naishi Tandale !!!!!! Click to expand... Poa poa twende zetu......HahahAha ulivyojihami Tandale mbona mimi huko huko ulifikiri niko masaki...lol Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bitoz said: Sawa laaziz everlenk....naishi Tandale !!!!!! Click to expand... Poa poa twende zetu......HahahAha ulivyojihami Tandale mbona mimi huko huko ulifikiri niko masaki...lol
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Dec 8, 2015 #41,771 Ama kweli uchawi sio lazima kusafiri na ungo, Acha uchawi mkuu
mhs shwanstiger Member Joined Dec 5, 2015 Posts 43 Reaction score 9 Dec 8, 2015 #41,772 Hongereni na mawazo yenu mazuri naona mmeshapanga matokeo 😃😃😃
ESCORT 1 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2015 Posts 1,501 Reaction score 3,342 Dec 8, 2015 #41,773 Kwa kikosi hiki cha leo, kila laheri man utd
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,151 Reaction score 17,003 Dec 8, 2015 #41,774 Kazi mliyonayo Leo ni ngumu. Sioni ni namna gani mtaacha kwenda kucheza uropa ligi. Wolfsburg ni wazuri kuliko nyie kila idara. Salama yenu ni kwa psv kushindwa kuwatandika cska Moscow.
Kazi mliyonayo Leo ni ngumu. Sioni ni namna gani mtaacha kwenda kucheza uropa ligi. Wolfsburg ni wazuri kuliko nyie kila idara. Salama yenu ni kwa psv kushindwa kuwatandika cska Moscow.
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,638 Reaction score 4,183 Dec 8, 2015 #41,775 kazi I njiani kuanza!
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 8, 2015 #41,776 Jaman lets pray for our team...
Active Content Quality Controller JF Staff Joined Jan 30, 2008 Posts 908 Reaction score 1,979 Dec 8, 2015 #41,777 Ushindi leo lazima.
mwa 4 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,390 Reaction score 754 Dec 8, 2015 #41,778 Mpaka mda huu man u ashatoka hata wakiroga.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 8, 2015 #41,779 everlenk said: Kitulizeeeee relaxxxx Click to expand... Hujambo...
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Dec 8, 2015 #41,780 sumbai said: Hujambo... Click to expand... Sijambo kiasi Shem .....karibu jammvini