Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakusalim shemeji, uhali gani...
Pole kwa matokeo

Shemeji mi mzima sana, ......shemeji acha tu tushapoa,bado tatizo pale mbele butu ila siyo mbaya heri nusu shari kuliko shari kamili......shemeji wewe timu gani niwe nakutembelea?
 
Duuuuh leo nadhan auko poa lkn unakaribishwa kesho kwenye Shoo za Klopp mtani

We geuza mambo kunifanya miye kichaa siyo,haya mimi kama kawaida nitajaa tele usinikimbie tu......msalimie pacha wako D
 
Shemeji mi mzima sana, ......shemeji acha tu tushapoa,bado tatizo pale mbele butu ila siyo mbaya heri nusu shari kuliko shari kamili......shemeji wewe timu gani niwe nakutembelea?

Shem mimi ni sawa tu ya mdogo wako....alinilazimisha niwe timu yake...ila nafikilia kwenda onloan lecester cty...

Nadhani leo wamedroo hawa red devils...

Kanunaaa....

Cc cute b
 
Last edited by a moderator:
Shem mimi ni sawa tu ya mdogo wako....alinilazimisha niwe timu yake...ila nafikilia kwenda onloan lecester cty...

Nadhani leo wamedroo hawa red devils...

Kanunaaa....

Cc cute b

HahahAha shemeji mimi simooo!!!! Leicester wako vizuri sana Ngoja tuone kama mpka February watadumu
 
Last edited by a moderator:
Asa kumbe nini
 
Attachments

  • 1449348366201.jpg
    1449348366201.jpg
    16.8 KB · Views: 177
Shem mimi ni sawa tu ya mdogo wako....alinilazimisha niwe timu yake...ila nafikilia kwenda onloan lecester cty...

Nadhani leo wamedroo hawa red devils...

Kanunaaa....

Cc cute b

Love twende ibadani
 
Last edited by a moderator:
Nmesha chelewa

Nenda, pray for man u

Shemeji acha visingizio wewe nenda bana, usimuache mkeo peke yake,kuna li nyoka litamtembelea limshawishi Kula tunda bure. .....lol

Cc cute b
 
Last edited by a moderator:
So far so good hali si mbaya sana,next game against AFC Bournemouth tunahitajika tushinde by power by force.........huku tukiendelea kusonga mbele na UEFA next game against Wolfsburg Wacha tujikongoje .......tutafika tu (in Nzi's voice)..........#GGMU
 
Attachments

  • 1449376852487.jpg
    1449376852487.jpg
    52.3 KB · Views: 156
Last edited by a moderator:
hebu tafsiri kingereza vizuri na usipotoshe, sijaona popote panaposema man u wanatafuta kocha sababu lvg hana jipya bali naona wanatafuta kocha sababu 2017 ndio muda mkataba wa lvg unaisha.

lvg ni kocha wa muda kaletwa pale kuitutolea mizigo na kutuekea damu mpya. na ni kazi ambayo lvg anaijua kuliko mtu yoyote duniani.

na tayari alishasema hana mpango wa kuwa kocha wa moja kwa moja na usajili wa martial pia alisema anasajili kwa ajili ya giggs.

Sijui kiingereza nilitegemea watu kama wewe mje mtafsiri.
 
Back
Top Bottom