Manyumbuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Manyumbuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
acha majungu basi
Mpotezee mkuu, hajishtukii timu anayoikashifu ipo juu yake
usijali nafanya hivyo broMpotezee mkuu, hajishtukii timu anayoikashifu ipo juu yake
Ukiniambiaaa nani afe mdaa huu ktk soka nitakwambiaaa "Ronney"
Ukiniulizaaa nani akwendee ICU nitakwambiaa "Van Gaal"
Ukiniulizaa nani akatikee miguu nitakwambiaaa "Depay"...
Poor Man utd Yangu

Kushinda mechi mbili tatu za nguvu ya soda za klopp umeshajiona umechukua kombe...bwa ha hq ha ha...
Nakushauri Liverpool jitahidini muingie top four maana mnaweza msipanuse...

everlenk njoo nisaidie kuniitia wenzake waje wamchukue huyu maana ubovu wa team yao anakuja kulia lia kwa majiraniTeam yetu mbovu aiseee