Na point 3 hazipatikani kwa kumiliki mpira mpaka golini kwa mpinzani wako na kurudisha mpira nyuma kwa kipa wenu bali kwa kutumbukiza mpira nyavuni mara nyingi zaidi ya mpinzani wako.
Wawe kama Barca, wanamiliki mpira na kukupiga wanakupiga. Hiki ndo kilmfanya sir alex mpaka atetemeke pale Wembley.
Crystal Palace.
Hata Barca alifungwa na Bilbao!Bahati zipo ktk soka sometimes
Manyumbu mpooo
Hata Barca alifungwa na Bilbao!Bahati zipo ktk soka sometimes
Sidhani kama ukitumia lugha ya kistaarabu utapungukiwa kitu.
Mngekua mnakuja kwetu kwa ustaarabu ningeupokea ushauri wako
Manyumbu mpooo