Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The beginning of the end...

Hahahaha Mkuu sio kwamba ninakucheka wewe ... ila comment yako imenifanya nicheke

Naaomba usome hapa halafu ukimaliza kusoma naomba uniambie nani ana nafuu

It is 25 years to the day that Liverpool last won the league title, and a lot has happened in English football since... On April 28, 1990, Liverpool beat Queens Park Rangers 2-1 at Anfield to claim their 18th top-flight championship.28 Apr 2015
 
Hasira inakuja pindi pale inapotokea kabisa kuna ishara ya ushindi na mpinzani amekubali kbs,yaani kwa ss hatuna plan b kabisa na ndipo napoanza kumkumbuka babu fergie
 
Mkuu mimi nimshika mitutu kutoka London.

Hapo sawa Mkuu sasa tunaelewana...

Umeangalia msimamo wa ligi lakini?

Pamoja na udhaifu wetu tupo juu yenu

Norwich ninavyowajua wakicheza nyumbani lazima pachimbike.... kesho najua wakazi wa Norwich watajipongeza sana viti virefu baada ya mechi yao kusherehekea ushindi
 
Hahahaha Mkuu sio kwamba ninakucheka wewe ... ila comment yako imenifanya nicheke

Naaomba usome hapa halafu ukimaliza kusoma naomba uniambie nani ana nafuu

It is 25 years to the day that Liverpool last won the league title, and a lot has happened in English football since... On April 28, 1990, Liverpool beat Queens Park Rangers 2-1 at Anfield to claim their 18th top-flight championship.28 Apr 2015

Ndiyo maana nikasema "The beginning of the end..." coz I have reflected what happened to us(LFC).

Kumbuka kuwa during SAF era mlikuwa kwenye mwendo wa positive gradient...mkipaa kwenda juu kwa speed ya light, sasa mmefika kwenye SATURATION POINT of which mtakaa hapo for sometime then you will start to decelerate with a negative gradient.

Hii ni nature of science...unfortunately most of you guys huwa hampendi huu ukweli. Sisi tulishazoea, and we are starting to acquire a positive gradient again mdogo mdogo.
 
Rojo imekuwaje kaumia?

McNair na Evans sijawahi kuwakubali 100%

Kipindi hiki tatizo la majeruhi linatuandama sana

rojo na lindagrd wana small injuries walizipata mazoezini mkuu, ila game ijayo wote watakuwepo,
I miss Rafael da Silva, I miss chicharito, evra dah,
 
Ndiyo maana nikasema "The beginning of the end..." coz I have reflected what happened to us(LFC).

Kumbuka kuwa during SAF era mlikuwa kwenye mwendo wa positive gradient...mkipaa kwenda juu kwa speed ya light, sasa mmefika kwenye SATURATION POINT of which mtakaa hapo for sometime then you will start to decelerate with a negative gradient.

Hii ni nature of science...unfortunately most of you guys huwa hampendi huu ukweli. Sisi tulishazoea, and we are starting to acquire a positive gradient again mdogo mdogo.

tofauti yenu na yetu ni kwamba tuna spend ili kuirudisha heshima and for this we can win, wakati nyie mmekuja kuanza kukumbuka kuspend when its too late, tatzo kubwa linalotuandama kwa sasa ni van gaal, kusingekuwa na hili tatzo tungekua mbali sana.
 
Ndiyo maana nikasema "The beginning of the end..." coz I have reflected what happened to us(LFC).

Kumbuka kuwa during SAF era mlikuwa kwenye mwendo wa positive gradient...mkipaa kwenda juu kwa speed ya light, sasa mmefika kwenye SATURATION POINT of which mtakaa hapo for sometime then you will start to decelerate with a negative gradient.

Hii ni nature of science...unfortunately most of you guys huwa hampendi huu ukweli. Sisi tulishazoea, and we are starting to acquire a positive gradient again mdogo mdogo.

Dua la Kuku hilo Mkuu

Mkubwa ni mkubwa tuu

Sasa tunafanya "upembuzi yakinifu ili kuweza kuzitatua changamoto tunazokabiliwa nazo kipindi hiki" mwaka juzi tulimaliza wa 7 msimu uliopita wa 4 msimu huu kati ya nafasi hizi 1,2,3 itakuwa ni ya UTD

Nyie naona mtakuwa na uhakika wa kurudi Europa League tena... big up to Klopp
 
Lol, MAN UTD *HOLD* LEICESTER

HOW THE MIGHTY HAVE FALLEN!!!, LMAOOOOO
ImageUploadedByJamiiForums1448742308.279138.jpg
 
Dua la Kuku hilo Mkuu

Mkubwa ni mkubwa tuu

Sasa tunafanya "upembuzi yakinifu ili kuweza kuzitatua changamoto tunazokabiliwa nazo kipindi hiki" mwaka juzi tulimaliza wa 7 msimu uliopita wa 4 msimu huu kati ya nafasi hizi 1,2,3 itakuwa ni ya UTD

Nyie naona mtakuwa na uhakika wa kurudi Europa League tena... big up to Klopp

Time will tell...

But I already told you that you can never ever go against the laws of nature!

You need a third eye to digest what am telling you.
 
Hasira inakuja pindi pale inapotokea kabisa kuna ishara ya ushindi na mpinzani amekubali kbs,yaani kwa ss hatuna plan b kabisa na ndipo napoanza kumkumbuka babu fergie

Yeah!
Fergie alikuwa anacheza na marefa.
 
Nitakuwa siwatendei haki kama sitaweza kuweka hizi picha wakati rekodi zinavunjwa everlenk, Nzi, cute b ... Ngongo huyu keshasepa chacha kule Arusha Belo, mfarisayo kasahaulika kama Eqlypzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz ambaye anaozea hospitali et al wengine wageni tu wamevamia Thread ........ ............. .. ile dawa ua Dudu pooof ya Le Prof inafanya kazi ..... .... .

article-3337486-2EE31A3100000578-95_964x386.jpg

2EE2ACB200000578-3337486-image-a-8_1448734056919.jpg

Jamie Vardy celebrates after scoring for an eleventh consecutive Premier League fixture to beat Ruud van Nistelrooy's record

2EE2A3BA00000578-3337486-The_Foxes_striker_fires_the_ball_past_Manchester_United_defender-m-27_1448739439643.jpg

The Foxes striker fires the ball past Manchester United defender Matteo Darmian from inside the area to give Leicester the lead

2EE2A6C200000578-3337486-image-a-16_1448734102383.jpg

Darmian's attempted block is too late as Vardy rifles the ball beyond Manchester United goalkeeper David De Gea and into the net

2EE2B7BD00000578-3337486-image-m-57_1448736860249.jpg

Leicester forward Vardy hits his chest after becoming the first player in Premier League history to find the net in 11 consecutive matches

2EE2ACE600000578-3337486-image-a-14_1448734094231.jpg

Vardy is congratulated by his Leicester team-mates after the Foxes, who topped the table before kick-off, went ahead against Man United

2EE2B7D800000578-3337486-image-a-37_1448734414140.jpg

Vardy salutes the support after writing his name into the Premier League record books as captain Wes Morgan (right) roars with delight

2EE3115D00000578-3337486-image-a-29_1448739512326.jpg

2EE29E4600000578-3337486-image-m-29_1448734184952.jpg

Leicester winger Riyad Mahrez, who has also enjoyed an impressive start to the season, leaves Michael Carrick grounded with a mazy run

2EE282F700000578-3337486-image-a-27_1448734181227.jpg

2EE2E0F800000578-3337486-image-a-55_1448736708188.jpg

2EE2CFB000000578-3337486-image-a-50_1448735524366.jpg

2EE2FE8400000578-3337486-image-m-19_1448737682249.jpg

Manchester United skipper Rooney shakes hands with manager Louis van Gaal after being substituted in the second half

2EE2FDE300000578-3337486-image-a-30_1448739605334.jpg

2EE2F35C00000578-3337486-image-a-60_1448736953623.jpg

Young Diver alikuwepo ... ..
Khe khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wa Manure karibuni kesho tutakuwa away kwa Norwich muangalie kitale cha uhakika kutoka kwa Gunners Ding ... Dong.
 
I would like to explain the reason of Old
Trafford being called
"The Theatre of Dreams" through a story.
Here it goes:
Railway workmen came together to play
football once and dared to dream.
A dream to make something more of their
lives.
That is Manchester United.
.
The team lost its first ever
competitive game 6-0 to Bolton Reserves.
.
It got relegated in its second season of
competitive football.
.
In January 1902, it was asked to shut down
because of debts.
It didn't.
Instead it came back up and won the league,
a FA Cup and a charity shield 2 years later.
That is Manchester United.
From 1922 to 1940,
United were relegated again and again and
again.
Faced with bankruptcy in 1931,
United were on the verge of disaster again.
Instead, the team held on and fought on.
Finishing 2nd in 1947, 1948 and 1949; 1st in
'52, 55 and 56.
It won the FA Cup in 1948 and became the
first English team to play in Europe.
It had to wait 41 years for glory.
That is Manchester United.
.
A plane took off on February 6, 1958.
To greatness it seemed.
And came crashing down.
8 players died.
Facing despair and doom, but the club fought
on.
It reached the final of the FA Cup that year.
Without a first team, it plodded on and
rebuilt.
.
7 years later, as the fallen 8 smiled from
above,
the team won the title in 1965 and 1967.
And the EuropeanCup in '68.
That is Manchester United.
.
For 25 years it waited to win again,
getting relegated,
losing Managers and players as rivals
laughed.
It didn't fall then either.
A league title in 1992, a double in '93
and a treble in '99, Only the fourth to do so
before Barcelona, Real Madrid & Bayern
Munich too.
That is Manchester United.
Blood, toil, sweat and tears.
That is Manchester United.
Our squad needs a reshuffle you say,
Our tactics are outdated you say,
.
You laugh because you think we are down,
.
You laugh because you think we are lost,
.
We smile because we have seen it all.
.
We smile because we know we will ALWAYS
be back.
.
Wins from incredible positions.
"The Comeback Kings" is what they named us.
.
Glory from the darkest despair,
That is Manchester United.
.
This is why I love this team,
We may not be the best team in the world,
We may not be the greatest of them all but
We are the most INSPIRATIONAL team ever!
.
That is what separates us from others, We are
a team to look on to.
Here we stand with 20 titles, better than
anyone else.
LFC, Chelsea and arsenal fans, enjoy your rare moment of
happiness thinking United will go down
forever , You truly deserve this rare moment!
After all the success United have had for the
past 21 years with
trophies and victories!
.
I don't know, when we'll be back,
maybe this year, maybe next, maybe in 5-10
years time but
We'll be back for sure.
.
And no, this is not blind faith, but its the
BELIEF in Manchester United forever!
.
WIN.. LOSE.. or DRAW..
The Spirit of "MANCHESTER UNITED" Never
Dies.

Nimeikuta mahali.
 
The record breaker viva #manure

Hahhaahhaha halafu majungu siyo mtaji mtani......

Kusema ukweli jana Performance ya Rooney was the worst,yaani katika kipindi chote jana alichemsha sana na kutokota Kabisaaa, hata vyombo vya Habar vingi vimemsema sana. Ni wakati sasa LVG afanye maamuzi magumu tu.
 
Wakuu wa Manure karibuni kesho tutakuwa away kwa Norwich muangalie kitale cha uhakika kutoka kwa Gunners Ding ... Dong.

Halafu uache unazi mbona hujaweka picha za Bastian akifunga kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom