Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pheeeeeeeew! asaval.
Hao Marseille walikuwa wanacheza kama wanataka draw tuu, ila refa naye amebottle some calls....
All in all its not a bad results ukizingatia engine room yetu ilikuwa inaongozwa na watu kama akina Gibson. Chris Smalling atakuja kuwa defender mzuri sana hapo mbeleni
 
Vipi wakuu mambo ni aje? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Pheeeeeeeew! asaval.

Hao Marseille walikuwa wanacheza kama wanataka draw tuu, ila refa naye amebottle some calls....
All in all its not a bad results ukizingatia engine room yetu ilikuwa inaongozwa na watu kama akina Gibson. Chris Smalling atakuja kuwa defender mzuri sana hapo mbeleni

Nachukia sana sare ya bila goli, ugenini........gem ya OT itakua so tense....its actually scary mkiwa mnaongoza moja bila....halafu mda ndo unaishia.....
 
Nachukia sana sare ya bila goli, ugenini........gem ya OT itakua so tense....its actually scary mkiwa mnaongoza moja bila....halafu mda ndo unaishia.....
mkuu 2008 tulitoa sare ya 0 - 0 na barcelona ugenini na walivyokuja ot tukawaotea, ila 98 tulitolewa na monaco baa ya kudraw nao kwao.. All in all nina matumaini na mechi ya marudiano as long as tutacheza vizuri na kutokuconcede zaidi ya goli moja.
 
For sale .... ...

article-1360543-09CC3F8B000005DC-834_634x415.jpg

Protests: United fans have long let their voice be heard

in response to the way their club is run

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

na bado huyu jamaa hapa chini yeye ana agenda nyingine .... ....

article-1360543-07D4A59B000005DC-388_634x366.jpg

Sheik up!

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Line up: an der Sar, O'Shea, Smalling, Vidic, Evra, Fletcher, Carrick, Scholes, Nani, Chichartio, Rooney.
Bench: Kuszczak, Brown, Fabio,
Rafael, Gibson, Berbatov and King.
 
Naona Tumeanza kutakata hapa....
Asante Van De Sar.
 
tuna three title decisive games ahead of us. Tukianza na hii.
 
Naona Van der Sar anawatoa sana leo, au ni wamaliziaji wa Wigan wabovu?
 
Mnafikiri ni yupi mchezaji wenu wa msimu mpaka sasa kati ya Nani na Berbatov? Au ni Van der Sar?
 
Peasant
VDS ndo kazi yake hyo, mshahara wake wa wiki analipwa kwa kai hyo, though leo tunavuja sana kwa Oshea.

As far as am concerned mchezaji wangu bora so far naseema ni Vida.
 
Peasant
VDS ndo kazi yake hyo, mshahara wake wa wiki analipwa kwa kai hyo, though leo tunavuja sana kwa Oshea.

As far as am concerned mchezaji wangu bora so far naseema ni Vida.

Najua mkuu ndio kazi yake, and I have to say it's a good value for money. Nilikuwa najaribu kusema kwa namna nyingine kwamba defence yenu inavuja leo.

Kwangu mimi nafikiri Nani amekuwa na impact sana kwenu msimu, anawabeba kwa magoli na assist.
 
Daah yaani game hii tunahitaji ushindi mno..........maana washika bunduki wanatuombea njaa wapunguze msululu wa kunyanyua ndoo, darajani mgonjwa naona kama kaanza kuchagua chakula muda wowote anaweza kupata nafuu.......
 
nilikuwa nasikia sana kuwa Man wanabebwa leo nimeona ile ya Rooney wala haina warning ni red straight 1 elbow 2 mchezaji hana mpira 3 wala hakuona mistake yake kwanini alifanya
Kweli hii timu bila ya 12 players hawana mpira kudadeki timu ya kubebwa sana halafu wana vuvuzela kwa sana kama kweli vile
 
Peasant
Nani has been terrific, of coz ndo anaongoza kwa assist, na ya leo nadhan n ya 13 so far. Ila he is a bit selfish, mm ananiboa mda flani. Nonetheless, run kuwa imara msimu huu kkwa kiasi kikubwa imechangiwa na solid defence, tht means Vida amekuwa on form.
 
Chicharito: truely Ole Guna Solkajaer. Anajua mda gani awe wapi. Goooo United!
 
Timu zingine zishazoea kushuka daraja lol. walianza kwa moto lakini wapi .

Hongereni wakuu . Tunaenda kumnunulia Chelsea mashine ya kupumulia baada mechi yenu tunachukua mashine yetu lol.
 
Back
Top Bottom