Chicharito: truely Ole Guna Solkajaer. Anajua mda gani awe wapi. Goooo United!

Timu zingine zishazoea kushuka daraja lol. walianza kwa moto lakini wapi .

Hongereni wakuu . Tunaenda kumnunulia Chelsea mashine ya kupumulia baada mechi yenu tunachukua mashine yetu lol.
Peasant
U ARE NEXT!
Timu zingine zishazoea kushuka daraja lol. walianza kwa moto lakini wapi .
Hongereni wakuu . Tunaenda kumnunulia Chelsea mashine ya kupumulia baada mechi yenu tunachukua mashine yetu lol.

Lol!
Peasant yuko around hapa, bila shaka atakuwa na jibu.

ha ha ha najua kwa sasa lazima atahifadhi comments zake zozote mpaaka baada ya game jumanne lool.

Lol!
Peasant yuko around hapa, bila shaka atakuwa na jibu.

Aaahh!! Kwani Fat Arses hawawezi kuchukua kombe wenyewe mpaka wasaidiwe?! Hata tukiwafunga Manure utashangaa na wao wanachemsha next game, jisaidieni wenyewe kabla ya kuomba msaada.
mie nitakushangilia tu mkuu hizo dakika 90 bila wasi wasi.Sio kwa vile nahitaji msaada wa chelsea ,naah, ni kwa vile nataka man united wa drop points.
Hahahahaha! Naona unajaribu kucheza na maneno tu mkuu. Chelsea kumfunga Man united ndio msaada wenyewe mnaotafuta Arsenal, bila ya Man kufungwa ninyi hamwezi kuwa mabingwa. Tutawapa huo msaada, mkishindwa kuutumia imekula kwenu. Tatizo pekee la msaada ni kelele kupita kiasi tutakazopigiwa kwa mwaka mzima kutoka kwa hungry, noisy neighbours.
kama huitaki champions league mwakani poteza hio mechi lol.
mie nitakushangilia tu mkuu hizo dakika 90 bila wasi wasi.Sio kwa vile nahitaji msaada wa chelsea ,naah, ni kwa vile nataka man united wa drop points.
Hata tukifungwa, bado tuna mechi kibao za kumaliza ndani ya top 2 au 3 timu zote zilizo juu isipokuwa Arsenal bado zina mechi Stamford Bridge kwa hiyo bado tuna nafasi nzuri.