Naona mmeshinda kindondokela tena.
Asante Mkuu kwa kuniita dah leo nilibanwa sana kiasi kwamba nikashindwa kuingia, am happy for the win but the game was bored we need to change....
Naona Man Utd wamegeuka Arsenal ya miaka ya nyuma pasi pasi pasi hadi golini. Mtuambia tik-tak football haileti ushindi sasa mmetuiga entertain football yetu, afadhali enzi zile tulikuwa tuna create chances kibao na kufunga magoli mengi kuliko mnayoyafunga sasa. Waiting RRONDO aje na Van gaal is useless real talk.