Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mlevi mmoja anaitwa Paul Merson,huyu alikuwa mchezaji wa zamani wa Arsenal. Huyu jamaa ni Sky Pundit na mara nyingi huwa anatabiri matokeo ya mechi za premier league kulingana na anavyoona form ya timu.

Mara nyingi amekuwa akitabiri Man utd wanafungwa na mara nyingi anakosea! Kwa chuki zake huwa anaendelea na utabiri wake njaa huo huo. Sasa kali kuliko zote,ametoa utabiri wa top four. Kama kawaida kaonyesha chuki yake dhidi ya Man utd kwa kusema Man utd hawatapata nafasi ya nne.

Eti nafasi ya nne itaenda kwa Chlesea,huku Man city wakichukua kombe ,Arsenal wa pili na Tottenham wa tatu!

Man Utd and Liverpool won't finish in Premier League top four? Paul Merson predicts... | Football News | Sky Sports

Huyu jamaa sio kosa lake..... itakuwa hajapona vizuri matatizo yake

GAMBLING addict Paul Merson has revealed he considered breaking his own fingers to stop him phoning his bookie while at Aston Villa.
And the soccer star, 43, has admitted he later went broke after cashing in his 800,000 pension to go on a betting frenzy.
Merson blew an astonishing 7 MILLION during a colourful career which also saw him battle booze and drugs.
 
Pongezi kwako Idimi kwa kuwa ni mwanzilishi wa jukwaa hili,ila huonekaniki kabisa hapa umekuwa kama kakakuona, Ubarikiwe mkuu
Mwajiri anakaba mpaka penalti, nakosa sana muda wa kuchangamsha jukwaa. Ila tunasonga tu
 
Jesse Lingard has earned his first senior
England call-up for Tuesday's friendly
against France. Well Deserved call-up!
 
Michael Carrick ruled out England's international
against France at Wembley due to an injury.
 
GARY NEVILLE: MANCHESTER
UNITED SHOULD SIGN BALE, NOT
RONALDO
By Oliver Platt
The England coach believes his former side
would be better off pursuing the younger of
Real Madrid's two forwards despite
admitting it was a 'privilege' to play with the
Portuguese
Gary Neville believes Manchester United
would be better off signing Gareth Bale from
Real Madrid than bringing back Cristiano
Ronaldo.
Ronaldo left Old Trafford to join los
Blancos for a world-record fee in 2009, and
has gone on to win the Ballon d'Or twice
during his time in Spain.
The Portugal star has repeatedly been
linked with a return to Manchester during
the latter stages of his career.
But Neville says Bale, Ronaldo's team-mate
who is four years younger, would be a
smarter signing.
?The idea of Cristiano coming back as his
swansong, well it wouldn?t be the same for
him as it was before," Neville told the Daily
Star .
?What he did before at United was, for two
years, out of this world and it was a
privilege to be part of it. But I would
certainly prefer us to get Bale - and that?s
no disrespect to Cristiano.?
Rumours are rife that Ronaldo - now
Madrid's all-time top scorer - could seek an
exit out of the club after falling out with new
coach Rafael Benitez.
 
Kuna mlevi mmoja anaitwa Paul Merson,huyu alikuwa mchezaji wa zamani wa Arsenal. Huyu jamaa ni Sky Pundit na mara nyingi huwa anatabiri matokeo ya mechi za premier league kulingana na anavyoona form ya timu.

Mara nyingi amekuwa akitabiri Man utd wanafungwa na mara nyingi anakosea! Kwa chuki zake huwa anaendelea na utabiri wake njaa huo huo. Sasa kali kuliko zote,ametoa utabiri wa top four. Kama kawaida kaonyesha chuki yake dhidi ya Man utd kwa kusema Man utd hawatapata nafasi ya nne.

Eti nafasi ya nne itaenda kwa Chlesea,huku Man city wakichukua kombe ,Arsenal wa pili na Tottenham wa tatu!

Man Utd and Liverpool won't finish in Premier League top four? Paul Merson predicts... | Football News | Sky Sports

Mkuu naona unamwakia mtaalamu wetu. Huyu jamaa ni kama kompyuta ya lottery huwa anakosea mara chache. Ukumbuke ni pekee ambaye baada ya Moyes kupewa timu alitabiri Man Utd itamaliza nje ya top 4 na ikawa hivyo. Namkubali sana huyu jamaa ni mtaalamu wa haya mambo. Mtamaliza nje ya top 4 kwa mara nyingine tena, lakini nadhani amekosea juu ya Chelsea kumaliza juu ndani ya top 4. Nadhani msimu huu tutaona City na Arsenal pamoja na timu 2 mpya zikimaliza top 4. Manchester United na Chelsea hawana jipya msimu huu hahahahahahaha. Mwenyewe unakubali Man Utd ya LVG ni mzigo.

Huyu jamaa sio kosa lake..... itakuwa hajapona vizuri matatizo yake

Hahahahaha inaelekea Waingereza wote wana ugonjwa huu. Si nasikia Michael Owen au mchezaji gani mwingine na yeye si wanasema alikuwa na addiction hii?
 
80% ya utabiri wake kwa man utd anakosea.
man utd ya LVG ni mbovu ila iko 2pts behind league leaders,that says a lot about other teams
 
Mkuu naona unamwakia mtaalamu wetu. Huyu jamaa ni kama kompyuta ya lottery huwa anakosea mara chache. Ukumbuke ni pekee ambaye baada ya Moyes kupewa timu alitabiri Man Utd itamaliza nje ya top 4 na ikawa hivyo. Namkubali sana huyu jamaa ni mtaalamu wa haya mambo. Mtamaliza nje ya top 4 kwa mara nyingine tena, lakini nadhani amekosea juu ya Chelsea kumaliza juu ndani ya top 4. Nadhani msimu huu tutaona City na Arsenal pamoja na timu 2 mpya zikimaliza top 4. Manchester United na Chelsea hawana jipya msimu huu hahahahahahaha. Mwenyewe unakubali Man Utd ya LVG ni mzigo.

Hahahahaha inaelekea Waingereza wote wana ugonjwa huu. Si nasikia Michael Owen au mchezaji gani mwingine na yeye si wanasema alikuwa na addiction hii?

umesahau kuwa msimu uliopita aliitabilia city kuchukua ndoo, arsenal namba mbili alafu chelsea na utd zikimaliza top four, baadaye kabadilika kaitoa utd kaiweka liva, ilipofika march kabadilika tena chelsea kaipa ubingwa( hapa hata mm ningeweza maana ilikua wazi) arsenal kaipa namba mbili tena, city tatu na liva nne) alisema kama hatakuwa liva basi ni Everton, city aliipa tatu maana kuna kipindi ilipoteza sana mechi wakati toure yupo kucheza mataifa ya afrika, ( mwisho wa Siku msimamo unaukumbuka)

kwenye relegation battle aliwaweka Burnley, Leicester, na westbrome then akabadili tena akawatoa westbrome na burnely kawaingiza QPR na sunderland,

kwenye top scorer alimuweka jovetic, na giroud kuwa namba mbili, aguero alisema majeruhi yatamuangusha Costa hakumzungumzia kabisa.

ukiangalia hapo utajua kwanini mashabiki wa arsenal mnampenda na sisi wa utd hatumuelewi,

siku ya kufungua ligi (day one) alitabili hivi:
utd vs spurs 1-0
arsenal vs west ham. 3-0
Chelsea vs swansea. 2-0
stoke vs liva 1-1
westbrome vs city. 1-2
so kwangu mm mearson naona ananipigia kelele tu.
 
12219556_497145273793017_7544841219785000838_n.jpg
 
Back
Top Bottom