Okay next time
whooooo Rooney!!!! kakosa
hawa jamaa hovyo sana.. Mtashinda.
Carrock kamiss uwiiii
hahahahaha WTF Carrick?
Young kamiss shiit
hahahahaha Waingereza wamekosa zote... Gundu la Waingereza lipo pale pale
3-1 khaaa
DonDonald nakumbuka Young alikosa penati akiwa na Three Lions, sijui ilikuwa kombe gani? Labda ni World Cup kama sikosei.
Maajabu kama na nyie mtatolewa kama sisi na Chelsea. Anyway, hili kombe ni la watu ambao mmetoka kapa miaka ya miwili mitatu iliyopita.. ahahahahaha
Vipi bado unasimamia ulichokisema hapo ?
Tumetolewaaa aibuu
Yeah, Liverpool hawajabeba kombe miaka kadhaa City pia walitoka kapa msimu uliopita.
Jana timu yetu pendwa ingeshinda mashindano haya bado yangekuwa kwa timu hizo? lol
Ila dah tunatolewa na middlesbrough home
Jana tusingetolewa, ingekuwa ni Quadruple challenging. Ebana kutolewa jana haikuuma, kilichouma ni kupoteza Walcott na Ox ikizingatiwa tuna lundo la majeruhi wengine. Mbaya zaidi tuna Swansea City, Bayern Munich na Spurs kabla ya hata jeruhi mmoja kurudi. Tunahitaji kushinda at least mechi 2 na draw 1 hapo.
Nilidhani mtashinda Romero aliokoa penati za the Netherland World Cup kama sikosei, imekuwaje leo? Nadhani mtakuwa wakali katika ligi hivi sasa kuliko sisi..