Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maajabu kama na nyie mtatolewa kama sisi na Chelsea. Anyway, hili kombe ni la watu ambao mmetoka kapa miaka ya miwili mitatu iliyopita.. ahahahahaha

Hahahaha kwa kujifariji hamjambo

Kwa kuwa jana mmetolewa unadhani kila timu itatolewa? {ninazungumzia timu bora}
 
Wala siipati hata kwa simu.... Hahahhaha Martial na Fellaini.... Vichwa vya panzi

Nimeangalia sasa hiyo option ipo na nimekupa like

Martial na Big Fella wamewakosa jamaa....refa atakuwa ni mshabiki wa Arsenal watu wameshika mara mbili anapeta tuu
 
hahahahaha Waingereza wamekosa zote... Gundu la Waingereza lipo pale pale
 
Back
Top Bottom