Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja tuwaangalie madogo leo
 

Attachments

  • 1446059171540.jpg
    1446059171540.jpg
    42.6 KB · Views: 31
GGGMU Eeh Mungu tusaidie tusitoke kweny huu mchuano kama majiran zetu...
 
Huu uzi umefutwa kama matokeo ya uchaguzi zanzibar?? Wapi wadau mtupe updates???
 
Hivi LIKE zimefichwa wapi? Mbona sioni kwangu lakini wengine inaelekea wanazo.
 
Maajabu kama na nyie mtatolewa kama sisi na Chelsea. Anyway, hili kombe ni la watu ambao mmetoka kapa miaka ya miwili mitatu iliyopita.. ahahahahaha
 
Back
Top Bottom