Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

JS75195749.jpg
 
Ukimuweka Rooney #10 Herrera atacheza wapi...?
Naona alifanya hivyo...ili kuwachezesha wote kwa pamoja....
Cha pili huyu A. Martial kidogo amefufua uhai wa attack hasa ule upande wa kushoto ambao Depay alikuwa hautendei haki...kuumia kwa young kumemfanya LVG kumtumia Martial Pembeni na Roiney as striker nyuma yake akicheza Herrera. Tutegemee mabadiliko baada ya Young kuwa na fitness

Best position ya Rooney ni 10. Akipangwa namba 10,Martial aje 9 timu itakuwa na attacking threat na ikibidi Mata au Herera mmoja wao akae benchi. Another option Rooney asicheze kabisa,lakini kumuweka Rooney 9,then Martial 11 ni kuwapoteza wote Rooney na Martial. Kama umeangalia mechi ya leo timu ilikuwa haina attacking threat kabisa,midfield mpira wame control lakini mbele hamna movement kabisa wanabaki kupeleka mipira sideways tu.
 
Back
Top Bottom