xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Wewe ukiwa unangalia mpira kwenye ka-tv kako ka jicho moja, kuna shabiki mwenzio, mwanachama wa arsenal na mchambuzi pia wa michezo anaitwa piers Morgan yeye kawaweka wachezaji WATATU tu wa arsenal kwenye arsenal & utd combined XI ( kos, coq na Sanchez) sasa wewe ushindi wa juzi naona umekutia wazimu umeanza kujiona bora umesahau kuwa ule ushindi ulitokana na Wenger kumzidi mbinu van gaal,
De gea vs cech
Smalling vs per
Darmian/Valencia vs berrelin
Shaw vs monreal
Bast vs carzola
Herrera vs ramsey
Mata vs ozil
Martial vs giroud/ theo
Niliowaacha
Carrick/ Morgan vs coquelin
Blind vs kos
Young/Memphis vs Sanchez
Tafakari chukua hatua.
Last edited by a moderator: