Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Kumbe huwa kuna MWAKA wa mabadiliko?!
Mimi nilikuwa najua KILA SIKU ni SIKU ya MABADILIKO 😅😆
 
Kesho tutamsikia wenger akija apa akisifia kikosi chake kwamba kipo vizuri.. atajinadi kuwa haitaji straika coz kila mtu anafunga.. mashabiki watamfurahia, maisha yataendelea then atakuja kuchezea na bayern nje ndani, watashindwa kufuzu robo wataenda uropa then kampeni ya #wengerout itarudi tena.. maisha yataendelea..
Washabiki wa arsenal nawakubali mno.. mnaipenda timu yenu mnoo na ni wavumilivu sana n mnasahau mapema sana
 
Reactions: Nzi
Wacha fujo weweeeeeee!!!!! Prof.Wenger mwenyewe nakuona ulivyofurahiiiii ......
 
Last edited by a moderator:

Teh....

Bala Is Always Here chifu....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi

😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Halafu mnatuambia epl ligi ngumu!! Dogo kaja juzi tu na kasumbua Teh! Teh!

Ayew alishanaliza?

ukiangalia mchezaji mmoja au wawili huwezi pata uhalisia wa EPL, Martial ni mrefu na ana nguvu ni rahisi kushine epl. kama uliangalia mechi ya Arsenal mara kama mbili hivi Mertesacker alitolewa njiani push kidogo anaanguka. Dogo anaweza akakusanya watu watatu na akashindana nao nguvu na kuhold mpira.

ukitaka kuijua Epl waulize hawa
-Falcao
-Di maria
-Soldado
-Negredo
-Lamela
-paulinho
-Salah
-Gervinho
 


Huyu dogo sio wa kawaida,sio kama madogo wengine wanaochipukia...huyu ni special,lakini kwasababu washabiki wengi wamekaa kishabiki zaidi na si kimpira lazima wawe negative.
 
Nishasema hapa...LVG ataharibu tu hii timu,nashukuru sana ataondoka 2017!!!! Kocha gani huyu hajui kupanga timu kulingana na mechi??!! Timu huwa inashinda kwa juhudi za wachezaji tu wala sio kuwa ana mbinu kivile!! Hii timu angekuwa nayo SAF ingechukua ubingwa kilaini tu. Timu ina wachezaji wazuri kuliko ilivyokuwa timu ya Moyes lakini unafungwa na Arsenal kama timu ya eastern europe!!!
 
proNDO yani umeweka mapenzi kiasi umesahau kua kikosi chako kibovu na unakocha mbovu daah unazii huu sasa depay nae ni mkali!!? Roney yule yuko kwenye form!!? Aaaanh ukua unamaanisha herrera!! Any way ngoja tuone mana nabaki nacheka kua man wanakikosi kizuri.
 
Last edited by a moderator:
faida za lvg
juan mata kama winger
1. toka lvg aje mata amefunga magoli 17, hazard 14, yaya toure 14 (bila penalty) mata ndio midfield anaeongoza kwa mabao.
2. msimu huu mata ana magoli 5 na assist 6 tayari ni moja ya masuper star wetu sasa hv

blind kama beki
japo toka aumie shaw blind anapata tabu lakini mechi zote za mwanzo blind ameonyesha kiwango cha ajabu na tayari hadi sasa hivi ana goli 1 na assist 4 ten zote zikiwa ni goli la ufunguzi. mechi zote ambazo tulikuwa hatupati goli basi jamaa pasi zake zinapasua ngome ya upinzani.

usajili wake
tuwe wakweli tu bila lvg bastian machine ya kijerumani tungemskia tu kwenye redio asingekuja man u same kwa depay, na lvg kumuacha clyne aende liverpool na kumchukua darmian, kuamuacha pedro na kumsajili martial inaonesha jamaa habahatishi anajua anachofanya.


tuwe na uvumilivu kama somo kalipata jamaa sio mtu wa kung'ang'ania vitu sana, ataanza kurotate wachezaji ampumnzishe rooney, herrera akipona acheze nafasi yake na pia ajue bastian na carrick hawawez cheza pamoja last time kucheza pamoja tulifungwa na psg, morgan anatakiwa aanze na mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…