Mkuu hujaelewa vizuri post yake nahisi furaha imekuzidi sana hadi unashindwa kusoma post kwa ufasaha maana arsenal kuifunga man ni zaidi ya ubingwa. BTW hongereni sana.
Heshima sana wanazi wa Manchester United.
Mechi ya jana yapo mambo matatu niliyoyaona ambayo kama LVG atapenda kuyafanyia kazi hakika nafasi ya kwanza au ya pili inatuhusu.
Mosi, Viungo Michael Carrick 34 na Bastian Schweinsteger 31 ni wachezaji wakubwa kwa umri si busara kuwapanga wote katika mechi moja.Kama ulitazama game vizuri bila kengeza la ushabiki Carrick na Bastian walizidiwa na wachezaji vijana Francis Coquelin,Alexis Sanchez na Santi Cazorla ambao walikuwa wameshika kiungo haswa huku viungo wa Manchester United wakipeleka pass taratibu sana ungedhani hawana haja ya ushindi.
Pili,Ni wakati muafaka sasa LVG akamweka bench Rooney na Depay.Kwa kweli Rooney kiwango chake kimezidi kushuka siku hadi siku mara nyingi awapo uwanjani timu inakuwa inacheza kama na wachezaji kumi uwanjani.hana mbio,hana uwezo wa kumiliki mipira,hana msaada timu inaposhambuliwa hana uwezo wa kufunga mabao kama zamani.
Tatu,Ni muda muafaka sasa LVG akamchezesha Ander Herrera nafasi ya Rooney anaweza kuisaidia timu zaidi ukimlinganisha na Rooney anayevuta mshahara mkubwa lakini hana mchango wa maana kama Anthony Martial ambaye alikuwa mchezaji pekee alionysha kiwango cha juu katika mchezo na Arsenal.
Atakayemuona cute b ampe salamu zangu.....
Sijamuona tokea JANA!!!
Sawaaaaa.....
Shikamoo wenger..
8-3=5
Bado sanaaa
Ashley young kucheza kama beki wakati unajua arsenal kuna wachezaji wa mbio kama Theo na Sanchez hilo ni tatzo, depay kuanza kila mechi licha ya performance kuwa mbaya inampa jeuri na kiburi kutokujituma anapoteza mipira kirahisi sana, hebu anagalia fellaini alipoingia tulivokuwa tumewakamata japo ilikua too late arsenal walishamaliza mchezo dakika 20 za mwanzo, martial anafanya kazi kubwa sana kuliko umri wake kutokana na uzembe wa rooney,
acha kutudanganya wewe!' mliwakamata wakina nani?!! mchezo ulibadilika sababu Arse888 walisharidhika na matokeo yale kazi yao ikawa kuwazuia ndio mana mkaona kama mmecheza! ila nyie hamna kitu, huyo Schweinsteiger bora mumpeleke kwa mkopo akacheze muvi na schwarzenegger ..............
Ashley young kucheza kama beki wakati unajua arsenal kuna wachezaji wa mbio kama Theo na Sanchez hilo ni tatzo, depay kuanza kila mechi licha ya performance kuwa mbaya inampa jeuri na kiburi kutokujituma anapoteza mipira kirahisi sana, hebu anagalia fellaini alipoingia tulivokuwa tumewakamata japo ilikua too late arsenal walishamaliza mchezo dakika 20 za mwanzo, martial anafanya kazi kubwa sana kuliko umri wake kutokana na uzembe wa rooney,
Huwa nasema hapa Bastian anapaswa kuanza game za UEFA na sio za EPL kwa age + ugeni wake lazima atapata taabu.Tuna Morgan kijana na amezoea EPL huwa ndio anapaswa kuanza game za EPL hata game za mwanzo alikuwa anaanza na alisaidia sana defence
Game ya juzi upande wa kushoto ndio ulikuwa weak-link kwenye defence,Young alikuwa anapanda na sio mzuri defensively kibaya zaidi Depay alipaswa kurudi kumsaidia(Arsenal wangetumia zile chance wangefunga magoli 5 first half )
Kwa sasa Depay na Rooney wanastahili kuanzia benchi Perreira na Wilson wanapaswa kupewa nafasi zaidi
Mi mwanzoni nilishajua Morgan kishajihakikishia namba kwenye first IX kumbe bado tupo kwenye trial,
Alafu kuna tetesi nimezisikia eti rojo kaambiwa atafute timu mapema mwenzi wa kwanza maana kishazinguana na mkuu wa kaya.

Muller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...
Heshima sana wanazi wa Manchester United.
Mechi ya jana yapo mambo matatu niliyoyaona ambayo kama LVG atapenda kuyafanyia kazi hakika nafasi ya kwanza au ya pili inatuhusu.
Mosi, Viungo Michael Carrick 34 na Bastian Schweinsteger 31 ni wachezaji wakubwa kwa umri si busara kuwapanga wote katika mechi moja.Kama ulitazama game vizuri bila kengeza la ushabiki Carrick na Bastian walizidiwa na wachezaji vijana Francis Coquelin,Alexis Sanchez na Santi Cazorla ambao walikuwa wameshika kiungo haswa huku viungo wa Manchester United wakipeleka pass taratibu sana ungedhani hawana haja ya ushindi.
Pili,Ni wakati muafaka sasa LVG akamweka bench Rooney na Depay.Kwa kweli Rooney kiwango chake kimezidi kushuka siku hadi siku mara nyingi awapo uwanjani timu inakuwa inacheza kama na wachezaji kumi uwanjani.hana mbio,hana uwezo wa kumiliki mipira,hana msaada timu inaposhambuliwa hana uwezo wa kufunga mabao kama zamani.
Tatu,Ni muda muafaka sasa LVG akamchezesha Ander Herrera nafasi ya Rooney anaweza kuisaidia timu zaidi ukimlinganisha na Rooney anayevuta mshahara mkubwa lakini hana mchango wa maana kama Anthony Martial ambaye alikuwa mchezaji pekee alionysha kiwango cha juu katika mchezo na Arsenal.
anyway huu ushindi Unaweza kuwa springboard ya success msimu huu.
cc Nzi
Nakuja Jumanne tar 13. Kama bado utakuwa ntakutafuta Kitumsa hapo shemAhhh!! Shem kuna ndiyo na Hapana kwa Sir God......Ila nahisi atakuwa alikasirika maana wakati naomba nilikuwa nimeshika ile mbundimbundi ,bado nipo Kwenu Shem wangu.