Mm mbovu toka 1990's lkn nyie mpo kwenye denial stage!Sioni kwa miaka ya karibuni ku retain EPL
Karibu wachezaji wote leo hamna hata mmoja mwenye hadhi ya kuichezea Man U ya babu
hahahahah ndo ninapokupendea.
Ki ukweli hii game LvG amewapa Gooners...pamoja na kuwa jamaa walianza na presha ya hatari...tungekuwa na Morgan akicheza na Bastian au Carrick, naamini matokeo yangekuwa tofauti..
Pia ni heri Jones angecheza na Smalling, huku Blind akicheza left back...
Anyway..it was bad day at the office...na nafasi tuliyopo siyo mbaya ukilinganisha na last season...we are better this season....
Oh! Vyema basi, maana tumeshacheza na Liverpool. Kwahiyo hapo unataka kusema nayo siyo wa maana eh?!
Mkuu uwepo jukwaani Leo kama siku zote
Asante Mungu kwa siku hii ya leo ambayo tuliingoja kwa hamu kwa uwezo wako tumefika,Mungu wangu sina lingine ninalohitaji zaidi ya point 3 tu,wawezeshe wachezaji wetu watumie effectively nafasi wanazopata wacheze kwa bidii zote,vile vile mpe hekima LVG apange kikosi Chake vizuri,naamini na asante kwa kuwa umeniskia na tutaendelea kukaa pale juu mpaka mwisho, watu wote waseme Amen.
#GGGMU
nipo kama kawaida. naona leo tumenyooshwa mapema sana
bado wale. wametuotea tu leo. ila asante sanaArsenal wamekua sasa kutoka uvulana hadi uanaume.. Poleni sana
3-0
Usiniletee hasira mm mwandikie kweye tweeter yake Sanchez na Ozil
Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo
Dua yako imepokelewa.Liverpool hamna team pale,hata sare ya leo ni kubahatisha tu!Hadi atoke BR tutakuwa OK