Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ok hizi pasi za Ozil a.k.a za ki-DHL ni janga la man u khaa kama anazipiga kwa mikono

Mesut Ozil 11 a.k.a MO11
 
Last edited by a moderator:
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA KWA DHATI KABISA NIWAPE POLE KUTOKA KATIKA SAKAFU YA UVUNGU WA MOYO WANGU WAFIWA WOTE HUMU. Tuko pamoja, ktk shida na raha, ndo maisha yalivyo, msihofu.
maana stori ilikuwa, oooh sijui Martial, mara depay sijui mara nani, hatimaye mmewekwa mnapostahili.
 
Leo hapa kidodoro lazma kichezekeeee....
Tumebana tumeachiaaa....tatu bila tatu bilaaa....
Tumebana tumeachiaaa eeeh eeeh eeeh...
Kupata wimbo wa man u wa TATU BILA tuma neno WENGER kwenda namba 15001

hahahahah ndo ninapokupendea.
 

Tatu kavuu.....
Sio mbayaaaa..
 
Bora ukae kimya tu uchambuzi unaotoa hauna mashiko

3-0
Usiniletee hasira mm mwandikie kweye tweeter yake Sanchez na Ozil

Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo
 
3-0
Usiniletee hasira mm mwandikie kweye tweeter yake Sanchez na Ozil

Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo

kama timu inayoshika nafasi ya 3 haina kitu je inayoshika nafasi ya 10 inakuwaje?
 
Reactions: Nzi
kama timu inayoshika nafasi ya 3 haina kitu je inayoshika nafasi ya 10 inakuwaje?

Mm mbovu toka 1990's lkn nyie mpo kwenye denial stage!Sioni kwa miaka ya karibuni ku retain EPL
Karibu wachezaji wote leo hamna hata mmoja mwenye hadhi ya kuichezea Man U ya babu
 

Ameen

Pointi zetu 3 na goli 3
 
LVG ameuza mecha kwnni awatumie mawinger km mabek n beck zipo afu huyo rooney amefunga nae ndoa kwnn asimuanzishe wilson
 
Mwaka 2015 ni mwaka wa mabadiliko ya hali ya juu.

Bahati mbaya sikuangalia mpira.

Hongereni Gunners.

Ila nimeumia sana.
 
3-0
Hii team yenu haikucheza na yyt wa maana na leo wame waonyesha kama hamna kitu hapo

Oh! Vyema basi, maana tumeshacheza na Liverpool. Kwahiyo hapo unataka kusema nayo siyo wa maana eh?!
 
Lawama ziwaendee wachezaji pamoja na bench la ufundi la Man U...kwa kweli mmetuhalibia siku...
Na pongezi ziwaendee wachezaji na kocha wa arsenal...they played like really champions..wamecheza vizuri sana...walistahili kushinda...
 

Mtani usikimbie vigodoro vya wenzako huwa huchoki teeeehe teeehe

cute b kama ushauri uliufata vizuri nadhani utapona bila kuongezewa dawa zingine
 
Last edited by a moderator:
Leo tumeonesha udhaifu mkubwa sana.

Inabidi tufukie haya mapengo yaliyoonekana leo.
 
LVG ameuza mecha kwnni awatumie mawinger km mabek n beck zipo afu huyo rooney amefunga nae ndoa kwnn asimuanzishe wilson

Ki ukweli hii game LvG amewapa Gooners...pamoja na kuwa jamaa walianza na presha ya hatari...tungekuwa na Morgan akicheza na Bastian au Carrick, naamini matokeo yangekuwa tofauti..

Pia ni heri Jones angecheza na Smalling, huku Blind akicheza left back...

Anyway..it was bad day at the office...na nafasi tuliyopo siyo mbaya ukilinganisha na last season...we are better this season....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…