Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Depay ni shida sana. Kuna haja ya Valencia kuingia mapema nafasi ya Darmian leo hayupo sawa kabisa
Shida sio Darmian bali mediocre kocha wenuDepay ni shida sana. Kuna haja ya Valencia kuingia mapema nafasi ya Darmian leo hayupo sawa kabisa
Shida sio Darmian bali mediocre kocha wenu
Arsenal wana vijana na watu wa speed kama Coquellin,Carzola na Ozil LKN eti ndiyo wapambane na vikongwe wenu akina Swains na Carrick ambao wote ni 30 +
Muweke Herrea na Schne vijana hawa waruke na vijana wenzao!Miaka 3 ya LVG inisha hivi hivi Man U
Man u kiungo kimekufa kabisa, Fellain kuwa bench mechi kama hii ni pengo. ManU leo ajitahidi kuyapunguza tu maana hata akifungwa 5-1 leo atakuwa amejitahidi.
Painful to watch....this one