Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

His touch has been incredibly shit for a
long, long time now. It's shocking. Na sijajua van gaal anawaza nini juu yake, if i was van gaal ningempa smalling kitambaa cha captain and
drop him in a heartbeat. Like any old racehorse he needs to be
taken out to a quiet field with a bolt to
the head, no point studding him for
future stallions.

Sadly many United fans go ballistic when you suggest that Rooney should be dropped,you will hear them saying "Rooney is a legend, can't be dropped... He is very key to the team,his leadership is greatly needed..."
 
12096357_409255422602267_5451902958283547328_n.png
 
Manchester United currently top the Premier League table after seven games, and have lost just one of their last 12 Premier League games against the Gunners.
 
If only LVG bench Rooney and play Herrera in his place I would have been very certain about our win against the gunners (Arsenal).Rooney is Manchester United weaklink.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
BINAFSI naamin ktk uwezo wa wayne rooney a.k.a baba kai.. naamin hasa anapocheza namba kumi his movement in final third of the pitch ni balaa.. anaunganisha vzr kutoka midfield kwenda ktk attack.. pia pas zake ktk uwanja iwe ni pas ndefu au fup ni za uhakika mno.. sawa anaweza akawa hafung lakn united bila rooney ni wepes mno.. bila shaka mlishuhudia game dhid ya psv hali ilivyokuwa uwanjani.. movement za rooney zinamfanya mata aweze kutamba.. kumbuka mata hapigi chenga ktk winga na kama tujuavyo mawinga ni wapiga chenga wanaokimbia pemben na kutoa cross..lakn kwa mata sivyo.. kwanin mata anatamba? ni kwasababu za movement za rooney my captain.. anachofanya mata ni kuingia ndan ya dimba na kuwa kama secondary namba 10 nakwenda ku occupy space inayo achwa na captain rooney kisha kuassist nakutoa pas murua... wakat huo bek anayemkaba mata anakuwa hajui either amfuate mata ndan au amwache hapo ndipo man u tunapowachachafya wapnzani..
 
Unaongea mambo ya kufikirika mno ktk wakati ambao timu inahitaji performance nzuri kutoka kwa wachezaji wote 11.Sasa niambie,kati ya Herrera na Rooney ni nani anayeifanya Manchester United kutawala eneo la kiungo,kuifanya Manchester Utd kushambulia sana tena kwa mipango?Rooney amekuwa mzito sana,Rooney anashindwa kumchezesha Martial mpaka inamlazimu dogo kwenda pembeni kuitafuta mipira,ninachokiona ni kwamba chemistry iliyotarajiwa kuwepo kati ya Rooney na Martial has failed to materialize na tatizo ni lake Rooney hivyo inamlazimu dogo alazimishe chemistry kati yake na Mata.Akikabwa sana ataenda pembeni wakati huo Mata ameingia ndani yaani hapa ni kama wanabadilishana nafasi vile na ujanja huu unawasaidia,endapo Rooney angekuwa ktk form nzuri mipango ya kushambulia ya United ingekuwa mizuri mno na wangekuwa tishio.
 
,Rooney anashindwa kumchezesha Martial mpaka inamlazimu dogo kwenda pembeni kuitafuta mipira,ninachokiona ni kwamba chemistry iliyotarajiwa kuwepo kati ya Rooney na Martial has failed to materialize na tatizo ni lake Rooney hivyo inamlazimu dogo alazimishe chemistry kati yake na Mata.Akikabwa sana ataenda pembeni wakati huo Mata ameingia ndani yaani hapa ni kama wanabadilishana.

Chifu, Martial kuchezea kwenye wing ndiyo staili yake. Unafikiri kwanini Wenger alisema haitaji winger? Na unafikiri kwanini Martial anafananishwa na Chogo?

Kwa sababu dogo utumia wing kuingia kwenye 18 na 6, hivyo ndivyo anavyocheza. Yeye hachezi kama typical number 9, kama akina Ruud van Magoli, Pippo n.k.

Kama alivyoeleza chifu uliyemjibu, Mata kinafasi anapangwa kwenye right wing. Ila kiuchezaji kwa kweli yupo huru sana. Na nilishawahi kusema humu kuwa ukitaka kumfaidi Mata mwache awe huru. Hivyo ndivyo LvG anamwacha, ingawa LvG ni kocha anayependa wachezaji wa-stick kwenye nafasi zao. Ukimfanya Mata a-stick kwenye right wing, ataboa; na ukimweka namba 10, atachemsha pia. Mwache azunguke anavyotaka, hapo ndipo utakapoona ubora wake.
 
Back
Top Bottom